Rais William Ruto amewajibu maaskofu w akanisa katoliki ambao hapo jana waliitaka serikali kuacha kuwadangaya wakenya na kutekeleza ahadi walizotoa. Ruto amesema kuwa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki (KCCB) kuchunguza ukweli wa mambo kabla ya kutoa kauli zao.