Комментарии:
M mungu akuhifadhi na Kila balaa sheikh
ОтветитьSubhanallah Allahu Akbar
Anaelindwa na Allah kwamwe hawezi dhuurika
😢😢😢😢😢Allah azidi kuwahifadhi Mashekh zetu
ОтветитьComment from Mozambique 4🎉🎉🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
ОтветитьPoleni Sana Ndugu Shafi Na Wenzako Kwa Mitihani Mulio Ipata Lkn Maajurin IN SHA ALLAH
ОтветитьMwenyezi mungu huwalinda waja wake wema
ОтветитьPoole saana shekh
ОтветитьNampula ni nyunpani
ОтветитьKwema mokopo
ОтветитьAllah Akbar❤❤❤
ОтветитьIla ni kweli, ukikubaliana na matokeo nafsi inakua huru kbsa yani.
ОтветитьSasa uko somalia inakuwaje
ОтветитьMungu atakongeza wewe fanya tu
ОтветитьHiyo kweli
ОтветитьPolen sana
ОтветитьAllah amewapigania kwa Kweli Alhamdulillah kama mpo salama
ОтветитьAllah akulipeni kheri
ОтветитьPolesana
ОтветитьNakijua kituochatazala
ОтветитьMimi ni mtu wa Mozambique🇲🇿🇲🇿, Nasema poleni sana, Maana Muliyo yapitiya sio Madogo, Kwa Jinsi Navyo wajua Majeshi wetu! Inaonyesha Kuww Mungu Yupo Pamoja Nanyi!! Maana sio Rahisis Kutoka Mikononi Muao! Mungu Mkubwa Sana!
ОтветитьPoleni sana mashekh wangu mimi ni mtu wa uku msumbiji wilaya ya musimbwa Allah kawanusuru sana hawa hapo hivo
Ответитьduh 🙄 uyo askali alikua na moyo sana unajua mtu akitoka kuuwa anakua awezi kua na akili vizuli
ОтветитьMasha Allah
ОтветитьSheik wangu mbona iyonjia mriopita sio safi kabisa munge pita njia ya lichinga uku nakawale munge pita vizur sana❤
ОтветитьShehe Kuna uhitaji mkubwa wa kutoa elimu juu ya watu wetu maana wengi hatuna elimu ya dini
ОтветитьMimi Niko Mozambique tena cabo delgado hatari uku unabaati ostazy
Ответитьataoo mulio wakuta sio ote ni magaidi anapa walejama walikua wanakamata kamata
ОтветитьKkkkk 😁😁 poleni. From Mozambique 🇲🇿❤
ОтветитьSheikh wangu umetowa simulizi Nzuri na yenye mafunzo.
ОтветитьMashallah kweli kabisa shk.
ОтветитьMozambique sio pa kuchezea wamekufa sana ndugu zetu na shida inakuja kwanini hao magaidi wanatumia kigezo cha uislam ? Wakristo wanachinjwa na waislam wanaachwa ? Hata ningekuwa mimi sikubali
ОтветитьDaaah Sheikh umenikumbusha Askari wa Msumbiji ase.
ОтветитьPoleni San masheh wangu
ОтветитьMOLA akujaalie heri shehe shomari
ОтветитьShukran sana shekh wetu kwa maelezo mazuri saaaaàna kuhusu mafafanuzi ya JIHADI ...NA UKWELI WANAOWALIPUA WATU WASO KUWA NA HATIA ,NA PIA MAELEZO MAZURI BAINA YA VIKUNDI VYA KIGAIDI WANAOJINASIBISHA NA UISLAM ,NA UKWELI WA UISLAM WA KWELI ...UISLAM NI AMANI ...SHUKRAN SHEKH WETU KWA KUTOA UFAFANUZI MZURI WA UISLA WA WAISLAM BANDIA NA UISLAM WA KWERI AMBAO NI NURU ALA NURU. , JAZAKAĹLAH KHAIR......❤
ОтветитьMugu awajaliye Mimi nimto wasumbiji palma poleni sana
Ответитьkwely Sheikh, dr. sule amiaribu mengi kabisa...., comemment from Mozamquique
Ответитьni kweli uyu nze anasema ukwelu
ОтветитьAllah atalipa Kila lakher
ОтветитьShaafii unasema kweli
ОтветитьMimi ustazi sualiangu ni lama jihad inapigana jagwani no sio kwenhe mji sasa awa watoto na waze na wanawake wana toka wapi?
ОтветитьDoo pole saana sheh Allah azide kukujalia na akuzidishie neema
ОтветитьUko sawa
ОтветитьSheikh Allah akulipen kilala kheri
ОтветитьHonera sana k
wa maneno mazuri !!
Mashaalah
ОтветитьMungu akupe maisha marefu ustazzy
Ответить❤❤❤
Ответить