POLISI WAUA TENA MAJAMBAZI WATANO "WALIWEKA MAGOGO BARABARANI GARI LA KWANZA KULITEKA LA POLISI"

POLISI WAUA TENA MAJAMBAZI WATANO "WALIWEKA MAGOGO BARABARANI GARI LA KWANZA KULITEKA LA POLISI"

Millard Ayo

3 года назад

1,121,733 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@nixonjohnson6346
@nixonjohnson6346 - 26.12.2021 09:16

Nauliza ni kweli mwenye panga anabomu .. mbona watanzania sio wajinga hivyo

Ответить
@jenesshirima9169
@jenesshirima9169 - 26.12.2021 14:54

Singeli

Ответить
@fettymkali7444
@fettymkali7444 - 27.12.2021 12:44

Balaa mc

Ответить
@richardngaga243
@richardngaga243 - 11.01.2022 22:28

Richard Ngaga

Ответить
@bufunashagembe326
@bufunashagembe326 - 16.01.2022 01:42

Bufuna shagembe

Ответить
@bufunashagembe326
@bufunashagembe326 - 16.01.2022 01:44

Bufuna shagmbe

Ответить
@danymgogo2187
@danymgogo2187 - 16.01.2022 16:24

Hongereni xana kwa kazi mzur

Ответить
@sadasaid1433
@sadasaid1433 - 21.01.2022 18:49

Snura

Ответить
@nife1tv235
@nife1tv235 - 14.02.2022 11:29

Pongezi kwa maasikali

Ответить
@chozilasimba1613
@chozilasimba1613 - 17.02.2022 21:59

Mbna wao awajtngz

Ответить
@victorkweka.6875
@victorkweka.6875 - 20.02.2022 14:44

SABABU ZA MAGOJWA YA FIGO.

Raia wa Ghana wanazidi kufa kwa matokeo ya ugonjwa wa Figo.

JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO

Kabla sijakuletea somo kwanza nikwambie gharama za kusafisha figo kama ikiathirika.

Kwa hospital zenye mashine ya dialysis kusafisha figo mara moja ni Tsh laki 3.
Na angalau mgonjwa ili aendelee kuishi asafishwa mara 3 kwa wiki na mara 12 kwa mwezi na mara 244 kwa mwaka.

Sasa tufanye hesabu. Lak 3 kwa wiki ni lak 9, kwa mwezi ni milion 4 kasoro.

Kwa mwezi mmoja ni hela ya kununua kiwanja chanika na kuanza kujenga.

Ndio maana elimu, elimu, elimu ni muhimu sana.

Na kama unajiona kwa life style yako ini au figo zako vitakua kwenye hatari ni bora ukatafuta ushauri kwa wataalam mapema.

Usithubutu kupuuzia maana kuna wababa na wamama wengine wamemalizia pension zao kwa kusafisha figo na bado hawakudumu.

Wengine wameuza nyumba na viwanja walivyonunua kwa nia ya kuwapa watoto lakini bado hawakupona.

Wengine wanasababisha watoto wao kushindwa kujiendeleza kiuchumi kwa sababu kipato chao kinaishia kuwatibia wazazi wao.

Wewe baba wewe na wewe mama, wewe kijana wa kike na kiume. Kuwa mjanja.

Usiwaumize unaowaacha duniani

SABABU ZINAZOFANYA FIGO KUHARIBIKA👇👇👇

1.Usichelewe kwenda HAJA.

Kutunza mkojo kwenye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu.

Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.

Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia".

Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.

2. Kula Chumvi kupita kiasi. Inatupasa kula Chumvi isiyozidi 5.8 gramu kwa siku.

3. Kula nyama kupita kiasi.
Protini ikizidi sana katika mlo wako inadhuru figo zako. Mmeng'enyo wa Protini unazalisha amonia- sumu dutu ambayo ina uharibifu mkubwa kwa figo zako.

Nyama nyingi inaleta uharibifu zaidi wa figo.

4. Unywaji mwingi wa "Caffeins".
Caffein hutokana na vinywaji vya Soda na vinywaji vingine laini kama Kahawa, Red bul l n.k. Hupandisha shinikizo la damu na figo zako kuanza mateso. Unapaswa kupunguza kiwango cha Coke, Pepsi, Red Bull, nk ambavyo hunywa kila siku.

5. Kutokunywa maji.
Figo zetu lazima zichakatwe vizuri kutekeleza majukumu yake vizuri. Endapo hatunywi maji ya kutosha, sumu dutu inaweza kuanza kukusanyika katika damu, kama hakuna kimiminika cha kutosha kutoa kwa njia ya figo. * Kunywa zaidi ya bilauri 10 za maji kila siku.
Kuna njia rahisi ya kuangalia kama unakunywa maji ya kutosha:

Angalia rangi ya mkojo wako; Wepesi wa rangi, ndiyo vzuri.

6. Kuchelewa matibabu.
Tibu matatizo yako yote ya kiafya kwa uhakika na uwe unachunguza afya yako mara kwa mara.

Wapendwa na wapenzi wangu, hebu tujisaidie wenyewe... Shirikisha wengine, kama unajali. ----------------
Pia epuka vidonge hivi, ni hatari sana:
D- baridi
Vicks Action- 500
Actified
Coldrin
Cosome
Nice
Nimulid
Cetrizet- D

Hivi vidonge vina Phenyl propanol- Amide PPA ambayo husababisha stroke na ni marufuku
Marekani.

MWISHO... Tafadhali, kabla ya kufuta, msaidie rafiki yako kwa kumpitishia hii..!
Inaweza kumsaidia mtu!

Wasambazie wengi kwa kadiri uwezavyo.
Shirikisha ujumbe huu kwa mpendwa wako.

Maonyo muhimu ya Afya

1. Jibu (pokea) simu wito na sikio la kushoto.

2. Usinywe dawa zako kwa maji baridi....

3. Usile milo mizito baada ya saa 11 jioni.

4. Kunywa maji vuguvugu mengi asubuhi na kiasi usiku. Usinywe maji baridi kamwe.

5. Muda bora wa kulala ni kutoka saa 4 usiku hadi saa 10 Alfajiri.

6. Usilale mapema baada ya kumeza dawa au baada ya mlo. Usiku, Kula chakula laini.

7. Usipokee simu yako ikiwa haina chaji. Wakati huo mionzi huwa ina nguvu mara 1000 .
Kwa mawasiliano zaidi piga simu no 0654794612.

Ответить
@surujajwie4768
@surujajwie4768 - 22.02.2022 18:41

asateen police 👏👏wetu kazi yedelleh 🔥👏👏👏wakizinguwa tuna zinguwan pongez police TZ

Ответить
@kenedynedy2615
@kenedynedy2615 - 17.10.2022 10:09

Tunawakataza kuuuwa watuu mnaendelea polisii nyienimahakama?

Ответить
@othumanomari1589
@othumanomari1589 - 17.10.2022 22:42

Good work

Ответить
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 - 19.10.2022 06:45

Kazi mzuri Police

Ответить
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 - 19.10.2022 06:47

Majambazi wameingia mtumbwi wa vibengwo

Ответить
@dicksonkiwelu7237
@dicksonkiwelu7237 - 20.10.2022 21:10

Muziki bongo flava

Ответить
@khamishassan500
@khamishassan500 - 23.10.2022 00:57

jaman

Ответить
@raphaelsanya2600
@raphaelsanya2600 - 26.10.2022 13:09

Hongereni San special forces

Ответить
@mtumbadimtumbadimtu5815
@mtumbadimtumbadimtu5815 - 28.10.2022 08:03

Ameni

Ответить
@anthonyjohn9478
@anthonyjohn9478 - 04.11.2022 11:54

Mama u

Ответить
@patrishayohana2055
@patrishayohana2055 - 25.11.2022 08:08

Kazi ya askali nikukamata na sio kuua

Ответить
@mushiobedi8406
@mushiobedi8406 - 06.01.2023 20:55

Pita huku

Ответить
@monicachacha455
@monicachacha455 - 10.01.2023 16:41

Pongezi sana jeshi la porisi

Ответить
@saadbinnuh4755
@saadbinnuh4755 - 12.01.2023 02:47

Yaan Tz wizi umulay umezidi kwl kwl

Ответить
@mzamiruathuman9594
@mzamiruathuman9594 - 14.01.2023 04:33

Sijaelewa mkuu

Ответить
@ninzizanelson454
@ninzizanelson454 - 16.01.2023 16:10

Hongela makamanda

Ответить
@bakarimuhamedbakari3605
@bakarimuhamedbakari3605 - 20.01.2023 06:45

SAWA Yao ni iyoiyo hakuna kuekwa jela hao ni Bomba tu tutafika tz bila majambazi inawezekana hongera jesh la polisi

Ответить
@ales6339
@ales6339 - 08.02.2023 07:08

Poleni.sana

Ответить
@vicentjanuary8388
@vicentjanuary8388 - 14.02.2023 00:37

Katuni

Ответить
@todiuclibenttodiuc1612
@todiuclibenttodiuc1612 - 27.02.2023 22:52

Jaman vijana fanyen Kaz acha kiba fanyen Kaz

Ответить
@MwanaashaSaid-ix2cy
@MwanaashaSaid-ix2cy - 05.04.2023 13:50

Nahitaji mkopo

Ответить
@ummuhafswa8980
@ummuhafswa8980 - 29.04.2023 14:48

Inaitwa mbuzi kufia kwa muuza supu. Malapaap..!! Galiyakwanza polic

Ответить
@GaburiyerIssa
@GaburiyerIssa - 02.11.2023 20:44

Rear madrid

Ответить
@GaburiyerIssa
@GaburiyerIssa - 02.11.2023 20:56

Tarifa za michezo

Ответить
@doreensaguge6681
@doreensaguge6681 - 03.11.2023 14:38

😳😳😳😳

Ответить
@BekaRDaffa
@BekaRDaffa - 20.11.2023 15:25

ngoja majambazi wawe wengi maisha nimagumu unazani yanatokana nann

Ответить
@MichaelThomas-zq3rp
@MichaelThomas-zq3rp - 04.03.2024 17:03

Tunapongeza sana serekali yetu ya Tanzania kwa kuangalia Hilo kwa jicho ya tu 😅😮😮

Ответить
@SaidiAbdhala-t2h
@SaidiAbdhala-t2h - 26.06.2024 22:04

Mmmmmmm

Ответить
@IssaTayari
@IssaTayari - 18.07.2024 22:45

Atuwaona awo majambazi

Ответить
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y - 19.07.2024 21:29

Najivunia kuzaliwa mkoa wa kigoma ❤❤ mine wamiss sana ndugu zangu woote wa mkoani 🇹🇿🇲🇬

Ответить
@AmonElia-b3b
@AmonElia-b3b - 22.07.2024 21:57

Jaman waache wiz watakufa sana

Ответить
@SawaMayunga-u6h
@SawaMayunga-u6h - 29.07.2024 20:25

polen

Ответить
@MaxOmary-s6z
@MaxOmary-s6z - 11.08.2024 08:04

Hongera sana axkal hapo ninyumban

Ответить
@FahmaWenga
@FahmaWenga - 19.09.2024 12:46

Talifa zirizotoka Leo kahama

Ответить
@PelisiPiri-ky1uh
@PelisiPiri-ky1uh - 03.10.2024 03:01

Maposa

Ответить
@DAUDRUBEN
@DAUDRUBEN - 03.10.2024 22:53

X

Ответить
@RajabuNgungwi
@RajabuNgungwi - 05.10.2024 15:46

. rajabu 😊❤

Ответить