Комментарии:
Mrusi aache Mikwara yeye ndio kaanza kuvamia Ukraine.. Mrusi anapewa misaada ya siraha toka China, Nkorea, Irani na Chechinia. Anataka awe anashambulia tu ila yeye asishambuliwe.
ОтветитьUrusi isifanya mzaha niwakati wa kujitoa muhanga nia yao siku nyingi kuivamia urusi ile kuishawishi yukreni ijiunge na nato nia yao ilikua kuipiga urusi mda umefika urusi kujihami na mataifa 3 ndio adui wa dunia izrail marekani uwingreza na mafaransa lisilo budi hutendwe tumia njuklia ndio watakaa sawA
ОтветитьHizonitoto za muchana.
ОтветитьMarekani yeye hana nuclear weapons ili amuogope urusi? Je nato hawana nyukilia, urusi ni mwenda wazimu
ОтветитьInamana urusi hana nguvu yoyote anajidaia nuclear weapons, mabom mengine yenye nguvu hana, Aya Sasa inamana marekani yeye hana nuclear weapons yakuipiga urusi, msiwe kama watoto wadogo wasio weza kuchanganuwa kitu
ОтветитьLiongo ilo lizee ilooo
ОтветитьLiongo ilo lizee ilooo
ОтветитьHii kombora walioitumia ukrein ni atacms, manake kwa kiswahili wacha waje,
ОтветитьO
Pk
No
Mkiwanyosha Kwa NUKE Wa Watashindwa Kuwanyosha na Hiyo Hiyo Nuke Au hawana Nini? Nasikia Nchi ya kwanza Duniani Kutumia Kunyosha Kwa Nuke ni Marekani Kwa Japani!! Watatumia na Wao Kwa Urusi Au?
ОтветитьMkitulia ni waoga fanyieni kweli
ОтветитьKwenda huko nyie niwaoga jaribuni muone
ОтветитьHahahaaa
ОтветитьBiden mshenz kweli yashamshinda anataka atuachie vita
Ответить