Комментарии:
Allah akulipe sheikh kishki
ОтветитьMashaAllah Kaz nzur akh wafkishie
ОтветитьSheikh shafi uko wapi
ОтветитьAllah akufanyie wepesi Sheikh Kishki...usimuogope yeyote hawana Kheri yeyote wanapotosha Ummah
ОтветитьSwadackta.
ОтветитьShekh kishk tukopamoja walahukopekeako Allah akujalie maisha marefu inshaallah
ОтветитьAllah akuzudishiye kila la kheri sheikh wangu ? Nurdin kishk
ОтветитьWaislam tuko wengi tunakuunga mkono kwa kuokowa UMMA
ОтветитьAfadhali na nyie waislamu, baadhi yenu kama Sheikh Kishki anawakemea Masheikh, Masharif na Madokta FEKI, sisi Wakristo hakuna Kiongozi anaye Wakemea hawa wanaojiita Mitume na Manabii!
Sulle anajiita Doctor hata Sekondari hakumaliza, Mazinge PROFESOR, Mwaipopo anajiita Sheikh, Firdaus Sharif 😂
Uislam ni dini ya haki kishk tupo pamoja na wewe
ОтветитьNimeoenda hii video post ya shekh shafi, yaani dini yetu ni kamili kabisa, nasisi tumekuwa umma bora kwa kukatazana mabaya na kuamlishana mema, kwahiyo haitakiwi kumuogopa yoyote anapofanya maovu katika dini yetu. Allah ambariki shekh shafi na shekh kishki katika hili. Endeleeni kusema kwa yoyote anaeleta ushirikina katika waislamu
ОтветитьKishki jifunze kulingania bado unahitaji kujifunza hivi huyo unayemsema kabla hujamsema yupo dar na ww upo dar uliwahi kumfuata ukazungumza nae km muislamu mwenzako uislamu hauja fundisha kumvunjia heshima mtu hivi wewe angelikufanyia km unavyofanya wewe ungekubali mbona ww ukikosolewa hukubali uislamu haujafundisha hivi
ОтветитьMASHEKHE SAMAHANI MUMEKOSA HEKMA SWALA DOGO MUMEWASHA MOTO MKUBWA UNAWASHINDA KUUZIMA MUKUMBUKE NYINYI NDIO KIOO CHA UMMAH MUSHAUPOTEZA MUELEKEO NAKUFEDHEHESHA DINI MUMEZIPOROMOSHA AMALI ZENU KWA KUKOSA BUSARA KILA SIKU MUNAONESHANA UBABE NA UMARUFU NAPIYA HAMNA MAHABA YA KUMSTIRI NDUGU MUISLAMU TUNAKWENDA WAPI? SOTE NIWAKOSA NA WACHUNGAJI DINI IMEKUWA MALUMBANO NA UBINAFSI? MUNASHINDWAJE KUFANYA MASHURA KUPATA MUELEKEO BORA?SIMBA AKISHINDANA NA NYATI NANI ATAUMIYA?WENYE ELMU NA WASIOKUWA NA ELMU NI FAIDA AU HASARA?TURUDI NYUMA HARAKA LAH SIVYO TUSUBIRI ADHABU SOTE TUKO TAYARI VIDOLE HAVIKO SAWA TUMEUMBWA HIVYO TUKUBALI SHUKRAN.
Ответитьmtume hakufaya upako wala mafuta .alifundisha kutenda mema na kuacha mabaya. shida ya waislam wa leo hawasomi imani yao. kazi ubishi simba na yanga tu .kunaimani yao vichwa maji
Ответитьivi maana ya shalifu ni nini mi sielewagi hilo
Ответитьwatu siku hizi wanawaza kutafutia tumbo tu hakuna mkalifu chini ya jua wote njaa zinatusumbua
ОтветитьSheikh Kishki yupo kwa ajili ya Kutetea Uislamu na sio kwa ajili ya Pesa kama Kuma Masheikh wengine. Kiukweli Kishki anauchungu juu ya wapotodhaji katika dini
ОтветитьUkoswadkta shekhekishik
ОтветитьMashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi
ОтветитьAllah akulipe sheikh
ОтветитьNaomba Mwenyezi Mungu akupe nguvu kwakuipiganiya dini ya Allah
Nikopamoja nawewe ni Abdou Marecani
ووواااااووو شتقناليك مرحبا بك
ОтветитьNachompendea mm Shkh Kishki huwa habadiliki kwa kuiga watu, cku zote anasimama ktk ukweli wa mafundisho ya dini, hawa ndio maulamaa wa kweli wa Allah, Basi Allah azidi kukupa umri mrefu shekh ili watu wazidi kuvuna ilmu inshallah
ОтветитьNachompendea mm Shkh Kishki huwa habadiliki kwa kuiga watu, cku zote anasimama ktk ukweli wa mafundisho ya dini, hawa ndio maulamaa wa kweli wa Allah, Basi Allah azidi kukupa umri mrefu shekh ili watu wazidi kuvuna ilmu inshallah
ОтветитьALLAH amzidishie shekhe wetu Kishki
ОтветитьNaona shekhe unapiga kwenye mshono
ОтветитьShekh shafi mbona uko kimya kwenye uozo huu au na wewe uko pamoja na masharifu
ОтветитьShida una chuki zidi ya imani nyingine
ОтветитьDili na imani yko
Ответить❤❤❤❤❤❤
ОтветитьSafi sana sheee
ОтветитьNaaaaam swadakta, stara za kina mama zinaondoka. Kutokana hawa masharif feki. Allahu Akbar Mwenye awadharilishe fi dunia wal akher.
ОтветитьSawa sawa eet walii wa shaitwaan 😂
Ответить