HII NDIYO SABABU YA KUFUTWA BAADHI YA NOTI “WATU WANADAI SIYO FEDHA HALALI”

HII NDIYO SABABU YA KUFUTWA BAADHI YA NOTI “WATU WANADAI SIYO FEDHA HALALI”

Millard Ayo

2 месяца назад

86,668 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p - 01.11.2024 15:02

Wekeni picha ya hayati magufuli alifanyia mema

Ответить
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 - 01.11.2024 15:08

Huu ni udhaifu mkubwa sana.

Sio salama sana kwa uchumi wa nchi. Wataalamu wetu mnatuamgusha sana sana.

Tangu nizaliwe mmebadilisha sana fedha zetu. Ni uzembe na hila

Ответить
@ramajuma5620
@ramajuma5620 - 01.11.2024 15:19

Yaan nyie hata mlete ngoz ya punda mkisema halal kwa matumiz si tunaitumia to wala hatuna shida 😂😂😂mtajua wenyew

Ответить
@adkajisi4536
@adkajisi4536 - 01.11.2024 16:00

Tuchape noti ya Laki 1 ili kutupunguzia mzigo wa fedha make elfu 10 Siku Hizi ni pesa ya mboga tu!

Ответить
@jaynationtz2100
@jaynationtz2100 - 01.11.2024 16:12

Mtatuuwa wengi mkiweka sura ya mtu humoo tunajua hakikizenu

Ответить
@abuusaid3297
@abuusaid3297 - 01.11.2024 17:26

Bora mziache msibadili chochote

Ответить
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 - 01.11.2024 19:56

SIJAWAHI KUMWONA MTU ANAYEZIKATAA PESA , HAPO KUNA DILL YA WATU. ILA MSIWEKE KICHWA CHA MTU ZAIDI YA NYERERE NA WANYAMA TU.

Ответить
@philibertmpinzile.6090
@philibertmpinzile.6090 - 01.11.2024 20:32

Usiseme noti za jero tu, mheshimiwa unataka kuniambia she kumi na she is hiring kiofisi zinatambulika kuwa ziko katika mzunguko swali je? Ni kweli physically ziko mikononi mwa wananchi jibu lake hapa nini?kama ndiyo are u sure ?kama hapana are u sure?na kwanini hatrudishiwi checking kuendana na hizo sarafu zetu bali ikibakia she is hiring basi muuzaji atakwambia potezea sirudishii kwani na help ndogo are sure?kamahesabu ni help ndogo are u sure?

Ответить
@nkengimasanja1899
@nkengimasanja1899 - 01.11.2024 20:45

Leteni noti za zamani tuendelee nazo maana kubadilibadili mzizishusha thamani tulikuwa na noti za 5,10,20,100,

Ответить
@IbrahimMussa-b9k
@IbrahimMussa-b9k - 01.11.2024 21:02

Itapendeza mkieka picha ya mjomba magu

Ответить
@arafasalim9948
@arafasalim9948 - 01.11.2024 21:11

Tunaomba shilingi na pesa ndogo ndogo zirudi ili kuipandisha thamani pesa yetu ya tanzania

Ответить
@meckcp1650
@meckcp1650 - 01.11.2024 21:21

kwan elf 5 ina picha ya twiga au mimi njaa zangu ndio namuona kifaru

Ответить
@nbasonelo
@nbasonelo - 02.11.2024 19:24

kama umemuona lecturer amelewa na usingzi juu gonga like

Ответить
@anesiusrobert5555
@anesiusrobert5555 - 02.11.2024 20:56

Ef 5 yenye twiga iko wapii

Ответить
@Todn7
@Todn7 - 03.11.2024 04:56

😅😅😅

Ответить
@AnoldTwisa
@AnoldTwisa - 03.11.2024 07:05

Tatizo watangulizi wako walizingua note zenu mbovu zinachakaa haraka huku kwetu coin ya shilling 50 haitumiki watu wanagoma

Ответить
@alfredbee7967
@alfredbee7967 - 03.11.2024 18:33

Huyu mama anataka picha yake iwekwe kwenye noti mpya huo ni mpango wake eti kana kwamba anakubalika hmna lolote wamekosa sera hawa

Ответить
@nsodyaphilimon9153
@nsodyaphilimon9153 - 04.11.2024 06:18

Uchapaji fedha ni gharama. Hapa najua kuna wanufaika. Fedha halali msitudanganye mnaweka picha ya Samia mnatoa picha ya Mwinyi wala sababu hakuna

Ответить
@bonbea6463
@bonbea6463 - 04.11.2024 21:02

Nimesikia elfu tano inapicha ya Twiga

Ответить
@balozimkali1337
@balozimkali1337 - 04.11.2024 21:18

Mbona wengine hatujaelewa kinachobadilishwa ninini?

Ответить
@BongoVibesTV
@BongoVibesTV - 05.11.2024 05:59

Duh ni hatari 😢 ila anyway kwa wapenzi wa simulizi tamu za maisha na mapenzi wasisite kutembelea channel yangu

Ответить
@latifa7358
@latifa7358 - 06.11.2024 07:02

Tunataka picha ya hayati Magufuli kwenye hizo noti mpya lasivyo msiweke kitu chochote

Ответить
@rithaurassa
@rithaurassa - 06.11.2024 13:15

Hivi serekali ikiamwua kunaanae kataaa

Ответить
@FREDYKALENGA-db8ip
@FREDYKALENGA-db8ip - 06.11.2024 17:49

Hapo kuna kichwa cha mama kizimukazi kinatafuta nafasi

Ответить
@NgukiJulius
@NgukiJulius - 07.11.2024 19:52

Twenden tuu kwenye Sarafu za kidigitali

Ответить
@Mpanda_boy_Tv
@Mpanda_boy_Tv - 07.11.2024 21:28

Fedha ya tanzania ni danga

Ответить
@Mpanda_boy_Tv
@Mpanda_boy_Tv - 07.11.2024 21:28

5000 ina twiga😂😂😂😂😂

Ответить
@GoodluckNjau-km3ym
@GoodluckNjau-km3ym - 08.11.2024 08:05

Kwa upeo wangu mdogo hiii kubadili fedha apo lazima tupigwe na kitu kizito hii ni mipango tu ngoja tuone

Ответить
@dullahkalanjedullahkalanje1422
@dullahkalanjedullahkalanje1422 - 08.11.2024 17:47

Miaka mnnetu mnabadilisha noti acheni ujinga

Ответить
@MasiringiMgeta
@MasiringiMgeta - 12.11.2024 10:11

NIJAMBO JEMA. KUBADILI NOTI LAKINI ZIWE NA UBORA

Ответить
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl - 12.11.2024 19:16

Hivi noti ya shillings 20 au 50 hata100 thamani yake ni kiasi gani? Nani anaweza kupata na kusumbuka kuiweka BENKI wakati nauli analipa 3000.

Ответить
@LifeAbout_Hustler
@LifeAbout_Hustler - 14.11.2024 17:51

Wanataka kuwakataa watakatishaji fedha

Ответить
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c - 14.11.2024 17:53

Mimi naona katika pesa za kufanyiwa mabadiliko na hizi sh mia 100 jamani zinaharibika mara 1 nawaomba hawa bot pia na hizi wazitizame maana hawazizungumzii

Ответить
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c - 14.11.2024 17:54

Sh 100 za chuma zinachakaa upesi sana

Ответить
@dinarchy4863
@dinarchy4863 - 17.11.2024 16:56

nisawa 😂😂😂

Ответить
@MariamSaidy
@MariamSaidy - 18.11.2024 22:26

Kwaiyo na yy siku akiacha kuwa rais samiya atakae ingia naye mtabadilisha noti nyingine

Ответить
@MariamSaidy
@MariamSaidy - 18.11.2024 22:27

Kwann msiweke wanyama kama hivyo ilivyo

Ответить
@HamisKwaswahili
@HamisKwaswahili - 19.11.2024 20:25

Wekeni picha ya John magufuli ili kukumbuka mchango wake mkubwa katika taifa letu

Ответить
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx - 22.11.2024 21:02

Bora tu muiache hivyo hivyo jamani

Ответить
@chrissnyello9490
@chrissnyello9490 - 06.12.2024 04:32

Ivi kumbe tuna elfu tano yenye Twiga me sinawahi kuiona mbona Wakuu❤

Ответить
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp - 07.12.2024 18:46

Badala mpambane uchumi qa nchi uinuke mnahangaika na kubadirisha sura za watu kwenye pesa.

Ответить
@NeemaDainess
@NeemaDainess - 17.12.2024 07:58

😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nch inazd kudidimia jmn

Ответить
@MwakaHappy
@MwakaHappy - 25.12.2024 08:36

Mbona magufuli hajabadirisha

Ответить
@IsakaSikalumbi
@IsakaSikalumbi - 30.12.2024 20:23

SI TUNACHO ZIDI KUOMBA MUNGU TU MABADILIKO HAYA YAWE NA TIJA NA MCHANGO CHANYA KTK MAISHA YA MTANZANIA

Ответить
@mangashajunior242
@mangashajunior242 - 30.12.2024 21:30

Majanga....

Ответить
@tumpaleakim825
@tumpaleakim825 - 01.01.2025 19:14

Hizo elfu 2, elfu 5 za zamani tutazujuaje

Ответить
@JohnBayyo-g8c
@JohnBayyo-g8c - 06.01.2025 21:40

Mmmmh mama anataka kuweka picha yake

Ответить
@nicolauslema88
@nicolauslema88 - 08.01.2025 09:02

Shamba la bibi kila mtu na kamba yake.

Ответить