Комментарии:
Prof. Habib Othman Mazinge .. Allah amuhifadhi
Kazi kubwa ameifanya alhamdulillaah 🎉❤
Masha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Allah akuzidishie
ОтветитьAllahu akbaru yaaaah allah rabiii zidniiii yaaaaah kariiim wewe ndie muweza
Ответитьmakafiri ni wapingaji wa mitume wote hawawaamini mitume na vitabu na Mungu mwenyewe wapo tuu
ОтветитьAllah akubariki ustaz wetu
ОтветитьSura al imran: 19
Hakika dini ya pekee mbele ya allah ni uislamu. Na wala hawakuikataa waliopewa kitabu (wakristo na mayahudi - biblia na taurati) ila baada ya kuujua ukweli (quran) kwa chuki baina yao. Na kwa atakepinga aya za allah (quran) basi allah hukumu yake ni kwao ni ya haraka sana (kwani wataingizwa motoni bila kuhesabiwa matendo yao kwa kukataa kwao)
Sura al imran:144
Na hakuwa muhammad ila ni mtume, na walitangulia kabla yake mitume wengine
M/Mungu amlete mrithi wa Mazinge asije akafa na elimu yake
ОтветитьShekhe mazinge allah akupe pepo ya juu kabisaa hakika unakazi nzito
ОтветитьAllah amjalie umri sheikh mazinge jamani
ОтветитьMAZINGE DINI YAKO NA MTUME WAKO/MOHAMED ILIANZA MIAKA 500 BAADA YA KRISTU,UISLAMU WENU NI DINI YA KUSIMULIWA KAMA MTU ANAYESIMULIA HISTORIA YA NYERERE,NDIYO MAANA MNAITWA MAPANGA SHAAA,YESU ALIKUWA MPOLE,NINYI TAARIFA MLIZO NAZO KUHUSU UKRISTO NI KAMA MTU KUKWAMBIA /KUKUSIMULIA AJALI YA MAFUTA MOROGORO NA UKUWEPO NA HAPO NI BAADA YA MIAKA 10,SO ONGELEA IMANI YAKO CSE UISLAMU UWE MZURI AU MBAYA ANAYEPIMA NI MUNGU,UNAPOJIKWEZA UJUE MUNGU WETU WAKRISTO NA WA KWAKO NI TOFAUTI,WENU WAISLAMU ANA JAZIBA ,ILA SISI WAKRISTO TUNAWASAMEHE KWA KUWA HAMJU MLITENDALO NA MUNGU AWALINDE..
ОтветитьLeo nakubali kama huyo pastor ajui tafsiri ya neno mtume…arudi shule
ОтветитьYa Allah❤❤❤
ОтветитьHuko south aliongea lugha gani huyo mfuga majini wa msanga 🤣🤣🤣
ОтветитьMazinge Allah akuhifadhi na akulinde kwa kazi kubwa unayoifanya na wenzio hao wahadhiri
ОтветитьALLAH AKBAR
Ответить