DAWA YA GANZI MWILINI/ KOLESTERO/ KUPARARAIZI/ MARADHI YA MOYO NA NGUVU ZA KIUME

DAWA YA GANZI MWILINI/ KOLESTERO/ KUPARARAIZI/ MARADHI YA MOYO NA NGUVU ZA KIUME

Perfect Treatment TV

3 года назад

37,759 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@muhabwadieudonne241
@muhabwadieudonne241 - 23.09.2021 11:06

Napenda sana maekezo yako ya matibabu.Lakini itakuwa vipi ikiwa una vidonda ya tumbo? Nasemea matumizi ya limawe

Ответить
@shanimwakilima968
@shanimwakilima968 - 23.09.2021 12:55

Asante sana saga vidonda vya turbo itakiwaje

Ответить
@alphamgoli9246
@alphamgoli9246 - 06.11.2021 23:04

Mie natatizo la mkono wa kushoto kufa ganzi na dalili hizi zimeanza wiki hii nifanyeje?

Ответить
@lizbethirungu4135
@lizbethirungu4135 - 11.11.2021 12:12

How do you treat lupus

Ответить
@kassimmakuburi9801
@kassimmakuburi9801 - 08.12.2021 09:11

I agree t0 You Tube's Terms of Service

Ответить
@rashidmashaka1264
@rashidmashaka1264 - 08.01.2022 02:27

Je kama una vidonda vya tumbo

Ответить
@paulmsele3696
@paulmsele3696 - 02.03.2022 00:11

Sasa bwana doctor vipi hii dawa kama mgonjwa ana tatizo la alsaz...?

Ответить
@alphanikiumbe6612
@alphanikiumbe6612 - 10.03.2022 21:37

Kuna tafauti gani ya limao na ndimu? Samahani sheikh wangu ni mujinga kutoka congo Kinshasa

Ответить
@firdauswangu716
@firdauswangu716 - 26.03.2022 13:09

Hi dear leo Niko siku ya 4 lkn nasikia kiungulia Sana na maumivu Kati ya mbavu mbili mpaka kwenye koo nifanyeje

Ответить
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg - 28.03.2022 17:16

Rimao 6 itakuwa kari sana

Ответить
@preciousgilbethy4407
@preciousgilbethy4407 - 01.04.2022 10:10

Mkono unauma je ni sahihi kutumia hii

Ответить
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 - 01.04.2022 22:26

🙏🙏🙏

Ответить
@husnattytasman3277
@husnattytasman3277 - 21.05.2022 02:12

Salaam alykum samahan naweza kupata number zenu

Ответить
@mbarakamakota3734
@mbarakamakota3734 - 22.05.2022 15:47

Ahsante

Ответить
@salomegabriel7733
@salomegabriel7733 - 17.07.2022 07:01

Dr naweza kutumia mtu ambae anatatizo lafigo

Ответить
@umiathman7900
@umiathman7900 - 22.08.2022 22:38

Asalaamalykum. Jee jama una pressure ya kushuka na ulcers inakuwaje

Ответить
@salminmabrouk5433
@salminmabrouk5433 - 23.08.2022 11:37

Maelekezo yako yanafahamika

Ответить
@fadhilamsami1837
@fadhilamsami1837 - 13.11.2022 10:50

Thank you very much,God bless you.

Ответить
@allironjo2698
@allironjo2698 - 22.11.2022 13:44

Samahani nauliza unakuta ss wengine mudawa mchana hatupo nyumbani tupo mahangaikoni jee tunaweza kuandaa na kubeba

Ответить
@julianaswai7846
@julianaswai7846 - 25.11.2022 14:21

Docta samah. Nina swali. Kuwan vidoaa vidoaa vyeupe kwenye miguu n dalili y ugonjw gani??

Ответить
@bitesingo52
@bitesingo52 - 27.11.2022 20:33

Samahani hiyo dawa anaruhusiwa mtu mwenye vidonda vya tumbo

Ответить
@nellyfrancis7433
@nellyfrancis7433 - 30.11.2023 14:20

Duh natamani kutumia sababu naumwa

Ответить
@TillionsMon
@TillionsMon - 22.05.2024 15:41

Naam,docter inapende Sana ni dawa bora ni ya asili zaidi

Ответить
@ZubedaAbdallah-s5p
@ZubedaAbdallah-s5p - 29.05.2024 04:52

Naomba nammba yako

Ответить
@douglastarimo2763
@douglastarimo2763 - 30.05.2024 10:57

Asante sana Daktari,
Je inafaa kutumia na dawa nyingine za hosipitali?

Ответить
@nikalegona145
@nikalegona145 - 27.06.2024 17:09

Na mwenye vidodonda vya tumbo ie

Ответить
@badrurajabu391
@badrurajabu391 - 08.08.2024 16:39

Kama una vidonda vya tumbo inakuwaje

Ответить
@badrurajabu391
@badrurajabu391 - 08.08.2024 16:45

Umeamua kutusaidia tunaomba utupe majibu ya maswali yetu

Ответить
@AdelinaNameo-y2u
@AdelinaNameo-y2u - 24.08.2024 18:01

Je kama mjamzito

Ответить