Комментарии:
Asanteni Mama kusema ukweri wewe ni mama sahihi kabisa
ОтветитьIla Adam wewe ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ОтветитьNakupendaa Adam mpk nakupendaa tenaaaaa.....big up 🎉🎉munguu akupe afya njema uendelee kutuletea vitu vzr kaka
ОтветитьKwetu kenya msaliti hasemi,kesi baadaye wanasema mbaya,mbaya
Ответитьhivi kwanini wasanii wetu tukiwapongeza hawajibu?
Ответитьdaah sakina jamani kuumiza moyo wa mtu asiye na hatia, toba.
ОтветитьAdamu KAZI zako zinafurahisha
ОтветитьJamani pepsi kwenye kwapa
ОтветитьAdam umeshaoa?
ОтветитьAdamu una saut nzur mashaaalah
ОтветитьNani anakubari Sakina nipungu Selina! Anamlaumu adamu kwalipi!? Hali yenye ndo wakulaumiwa🎉🎉❤
ОтветитьDada wa adam kaharib ladha ya movie 🙂
ОтветитьHongera sana Adam ❤❤❤❤
ОтветитьIyo dialogue ya bi maza ni 🎉
Ответить❤❤❤
ОтветитьNapenda kazi yako adam.keep up🎉🎉
ОтветитьAdam leo uamuzii uliofanyaa ni mzuri..napenda kazi zako
Ответить❤❤❤
ОтветитьKazi nzuri adamu
ОтветитьSakina😂😂😂
ОтветитьFilamu nzuri adamu
ОтветитьAdammu unatoaga move nzur sana ila nyingine umalizii😢
ОтветитьKazi zuri Adam
Ответитьiko vizur filam tunapenda sana tunakubali adam ❤❤❤❤
ОтветитьHongera sana Adam movie zako ni za mafunzo 🎉🎉🎉🎉
ОтветитьHii ni move ama nikweli Jamani 😢
ОтветитьKila mchuma janga hula na wakwao,,,,sakina tamaa imekuponza kaone na sura yake
ОтветитьHapo umeweza kaka
ОтветитьAdam mbona kimya kk yangu ❤❤much love 💕
ОтветитьNimempenda Mansour anajua kuigiza😊
ОтветитьAdam njoo kwangu 😂 achana na sakina
ОтветитьDaah kaka Adam sikutaka kucheka ila uliposema ana ukimwi wa kizamani eti sepeto na ngwamba😂😂
ОтветитьTunakupenda sana Adam uku Congo 🇨🇩🇨🇩
Ответитьunajuwa wewe adam bado nakudai baamedi iliishia wapi
ОтветитьNakubali iyi movie nabado sijaona ata nusu wa Tanzania munakipaji
ОтветитьCongratulations san Adam ❤❤
ОтветитьGood movie
ОтветитьKaz nzur ❤❤❤🎉
ОтветитьFan wako mkubwa sana Adam nko Kenya
ОтветитьWow Movie nzuri sana❤❤❤❤
ОтветитьAdam umeweza sana
ОтветитьAdam anajua🤗
ОтветитьAdam iyo nyumba unaoashutia niyako maana kila movie manzari aibadiriki
ОтветитьMapenzi haya daa😢
ОтветитьFunzo zuri sana ❤hongereni
ОтветитьTeeem lily omulimu omulune
ОтветитьBlaza adamu ww noma sana kwa kuingiza pia unafikilia sana na kutumia akilinyingi sana aise daaaaa nakukubali sana broo👏👏👏👏👏👏👏
ОтветитьWow Adam umerudi tena💪💪 napenda sana kazi yako. natamani niwe muigizaji kaka,,,
Ответить