MASIKINI! KABLA YA TUKIO HAMZA ALIANZIA UFUKWENI,ALIFANYA HAYA MPAKA KUUA ASKARI POLISI, KISA MADINI

MASIKINI! KABLA YA TUKIO HAMZA ALIANZIA UFUKWENI,ALIFANYA HAYA MPAKA KUUA ASKARI POLISI, KISA MADINI

SIRI ZA BONGO

3 года назад

687,531 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@BooraLiman
@BooraLiman - 26.03.2024 18:21

Serikali mbwa koko

Ответить
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 - 06.05.2024 01:28

Leo imekuwaje mmesema leo mbona mlimficha alisema polici wamemzulumu madini yake na kwanini polici watake rushwa kwake na wakati alikuwa na Kibali why walitaka honga kubwa kwanini walimuua hamza kama walijua amedhulumiwa kwanini wasimkamati vizuri na kumuuliza maswali wao wamechukua jukumu la kujionyesha kwamba wao n8 jeshi lakujifunza m8taan8 mbona hamuendi kupigana vita mmpempiga risas8 7 kama mnyama ameshakufa bado mlikuwa mnaendelea kuzirusha kama ambayo mlikuw mnaj8funza shabaha kw mwili w hamza

Ответить
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 - 06.05.2024 01:30

Na pia polici gani hamjui sheri mtu aisha jisalimisha akanyayua mikono juu basi hurusiwi kumpiga hata kama ni muaji jambazi mmemua kuf8cha siri zenu za honga

Ответить
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 - 21.05.2024 15:38

Khalu Innalillahi wainnailahi raajiun Qullu nafsi dhaaiqatu lmaauuuuut. SWAHIBA WAMEKUPUMNGUZIA MENGI. NAJUA NI JIHAD.

Ответить
@Driverrapper
@Driverrapper - 11.06.2024 19:15

Natamani nikutane na hii Media....pia Kuna Jamaa kunizulumu mtaji wangu wote .....Yan ni ville Sina uwezo lkn kama ningekua na uwezo binafsi ningemfanya alipe ...mtu mwenyew ni mwarabu

Ответить
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 - 21.06.2024 07:52

Mung amrehemu hamza mana amepigania haki yake nawalaniwe hawo wala rushwa mana wametangaza kua hamza nijambazi kumbe wao ndo majambaz

Ответить
@SimonMatika
@SimonMatika - 20.07.2024 12:59

Huyu hamza alijisalimisha ndio akapigwa risas,

Ответить
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb - 20.07.2024 14:34

Zulma mbaya

Ответить
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul - 22.07.2024 00:10

Hawa washauwa sana tena hamza kauwa kidogo alau engeliwauwa mia tano askari mbwa tu washauwa zanziba kila uchaguzi na maandamano nimefrahi sana

Ответить
@AlexNjelekela-e6e
@AlexNjelekela-e6e - 27.07.2024 07:56

Amza we2 shujaa,Elimu uliyotoa ni tosha

Ответить
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo - 27.07.2024 22:30

Allah awalaze pema woote,hamza pamoja na makamanda woote,upanga stand up,

Ответить
@MessiPeter-ek4gq
@MessiPeter-ek4gq - 31.07.2024 23:12

Shoo shoo kbc

Ответить
@SarapiaMfoi
@SarapiaMfoi - 13.08.2024 15:30

Rip hamza

Ответить
@SarapiaMfoi
@SarapiaMfoi - 26.08.2024 14:00

Rip hamza

Ответить
@AbdullahSewando
@AbdullahSewando - 28.08.2024 22:37

Hamza Alikufa kifo Cha Haq Mana alipigania Haq Yake Ila walifanya Yote wajuwe dhulma Sio nzuri

Ответить
@WivineSekembwe
@WivineSekembwe - 05.09.2024 20:19

😮😮😮

Ответить
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps - 06.09.2024 12:03

Hili jambo la kulifanyia utafiti wa kina kwanini awe na ugomvi na maasikari Kuna kitu walimfanyia hao maasikari wengechukuliwa hatuna

Ответить
@CashKassim
@CashKassim - 07.09.2024 18:13

Maisha yanathamani sana lakini, lakini thamani inaweza kuisha pale dhuluma inapotawala

Ответить
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS - 07.09.2024 19:51

Rest in peace Hamza

Ответить
@DaudKahemele-s8w
@DaudKahemele-s8w - 10.09.2024 16:58

Mungu aiweke roho za marehemu maharishi Pena peponi

Ответить
@DaudKahemele-s8w
@DaudKahemele-s8w - 10.09.2024 16:59

Shannon?

Ответить
@Dumb_nily
@Dumb_nily - 10.09.2024 18:24

bado wanaoteka watu

Ответить
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 - 13.09.2024 16:51

Wambea wakubwa mlijuaje km ni askari alitaka madin wkt Ameshakufa mbea mkubwa

Ответить
@FurahaAbdillah
@FurahaAbdillah - 15.09.2024 16:17

Maskari angalien sana tamaa mbay

Ответить
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila - 16.09.2024 07:50

Maasikari wezi safi sanaaa Bora wamekufa ao polis rext in hamza

Ответить
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila - 16.09.2024 07:56

Tupolis twa bongo bhana tunajiona tujitu twenyew sasa shukuruniiii sanaa izo bunduki haki ahhhh mungu ndo Zina walindaaaaaa laaaaaa sivyooooo 😭😭😭😭

Ответить
@kulwankuba2785
@kulwankuba2785 - 18.09.2024 17:27

Pigania haki Yako ndani ya Qur'an imesemwa,alikuwa sahihi

Ответить
@Gaynor1234
@Gaynor1234 - 19.09.2024 06:18

Safi sana

Ответить
@SaidiKitange-us2ej
@SaidiKitange-us2ej - 19.09.2024 14:51

Big up sana mwamba

Ответить
@RashidMuhunzi-pr5xj
@RashidMuhunzi-pr5xj - 19.09.2024 15:38

حمزة رحمه الله تعالى عنه!!

Ответить
@bensonpaul3672
@bensonpaul3672 - 20.09.2024 19:12

Kifo cha HAMZA ni fumbo kubwa sana kwa ASKALI POLISI

Ответить
@TatuAmani-r3t
@TatuAmani-r3t - 21.09.2024 08:11

Ответить
@simonetz7036
@simonetz7036 - 22.09.2024 00:44

Wanahitajika akina hamza wengine waje kutufundishia askari watekaji

Ответить
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 - 25.09.2024 07:17

Kiukweli huyu jamaa ni mwamba hasa alifanya kazi nzuri sana na liwe fundisho kwa dhuruma kudadadek

Ответить
@selemsigala4771
@selemsigala4771 - 25.09.2024 07:22

Mungu akupumzishe kwa amani haki maranyingi inagharama mdogoangu.

Ответить
@Babumadaa
@Babumadaa - 25.09.2024 17:27

Kaonewa

Ответить
@AnwarSuleiman
@AnwarSuleiman - 25.09.2024 17:53

Uyo jamaa mimi namjua ana migodi makongorosi chunya wamemdhulumu dhahabu zake

Ответить
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 - 26.09.2024 15:29

Hakunaga askari mwema ni wezi tu na waonevu sana Hawa jamaa wanajionaga mungu

Ответить
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa - 28.09.2024 18:16

Hakuna askari mwema

Ответить
@Aishajumanne6520
@Aishajumanne6520 - 04.10.2024 17:32

Ali ya basi arusha

Ответить
@PascalMwita-bv8kr
@PascalMwita-bv8kr - 13.10.2024 17:37

natamani nife kama amza me

Ответить
@ramsorams11
@ramsorams11 - 13.10.2024 21:40

Hamza mwamba kweli,R,I,P

Ответить
@DanielNjonje
@DanielNjonje - 22.10.2024 15:45

Mh

Ответить
@SaidyMussa-c3k
@SaidyMussa-c3k - 30.10.2024 03:14

Kuna vi2 walimkelaaa

Ответить
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 - 31.10.2024 09:53

Layazid dhalimuna ila hasara hatazidi kwake dhulma ila hasara

Ответить
@DativaChriss
@DativaChriss - 31.10.2024 18:43

Nikweli hawa jamaa wana hasira sana mume wangu tu nina muogopa japo hatuja wahi pisha kwa kiasi kikubwa ila wana maamuz magum Yasio pindiswa

Ответить
@DativaChriss
@DativaChriss - 31.10.2024 18:45

Asikar wapo kwa ajili ya kutu linda SS ila baadhi Yao wana tumia madaraka Yao kama kitega uchumi na kutu nyanyasa wengine

Ответить
@SaidSalum-n4o
@SaidSalum-n4o - 03.11.2024 19:26

Wangekamatwa hao wazulumati wote wakafungwa kifungo chamaisha

Ответить
@MagangaAbdallah
@MagangaAbdallah - 07.11.2024 09:22

Huyo Hamza alifanya dhambi kubwa sana .Hasira hasara.

Ответить
@KhalidiNinga
@KhalidiNinga - 11.11.2024 17:24

Safi hamza mungu akulaze pema pepon

Ответить