Je! Unataka kujua ni jinisi gani unaweza kutoa risiti za EFD kupitia Laptop yako? Kama Ndio Nitakuonyesha ni kwa namna gani unaweza kutoa risiti halali za EFD kwa kutumia laptop yako kupitia mfumo wetu wa Simplify VFD.
Angalia sasa ujifunze jinsi ya kutoa risiti za EFD kupitia Laptop yako na kujiunga na Simplify VFD.Usisite kulike, comment share na kusubscribe kwenye youtube channel yetu.