#Je.! Baraza kuu Mnabariki Kauli ya Sheikh Hassan Kabeke.? Sherally Hussein Sherally

#Je.! Baraza kuu Mnabariki Kauli ya Sheikh Hassan Kabeke.? Sherally Hussein Sherally

Al-hidayah online tv

1 месяц назад

4,916 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@mohamedmoledina6403
@mohamedmoledina6403 - 16.02.2025 07:23

Mawahabi mmewafanyia nn wapalestina mashia ndio wamepambana na wameumia lakininwameonesha umoja nyie mawahabi ni vibaraka tu

Ответить
@ShabanMohamed-e9l
@ShabanMohamed-e9l - 12.02.2025 18:36

Kumbe shida ni msilahii hapo nimekuelewa

Ответить
@ShabanMohamed-e9l
@ShabanMohamed-e9l - 12.02.2025 18:32

Mimi na shangaa wakati mna furahiya kifo Cha mohamedi idd Sasa mmetafuta kauchocholo ka kujificha ili kulipoteza masikioni mwa watu

Ответить
@mohammedi8850
@mohammedi8850 - 12.02.2025 15:00

MASHAALLAH

Ответить
@HamisiFakhi-mx4tb
@HamisiFakhi-mx4tb - 12.02.2025 10:03

Andika baruwa utajibiwa

Ответить
@ibinmgeta2406
@ibinmgeta2406 - 12.02.2025 09:51

Tunaitaji viongozi wenye uwezo wa kusema pindi unapo dhihiri uovu.

Ответить
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 - 12.02.2025 02:16

Acha kutafuta shari.Ofisi ya sheikh wa mkoa wa mwanza ipo kwa nini usiende huko?.Hata mufti wa Tanzania unaweza kuonana naye na mkaweka sawa mambo haya.

Ответить
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 - 12.02.2025 02:00

huyu jamaa mbona ana umimi sana?acha kiburi chako kwa kujiona bora kuliko masheikh zako.

Ответить
@RamadhaniMssa
@RamadhaniMssa - 12.02.2025 00:33

maadui wa Islam ndio mifano yawaingereza usiilete kwenye dini

Ответить
@HusseinNasibu-q4u
@HusseinNasibu-q4u - 11.02.2025 22:11

Mbona kijana wenu amefulaiya kifo cha shekhe mbona haukujibu usitishe mtu wewe

Ответить
@SoudKategille-v6k
@SoudKategille-v6k - 11.02.2025 21:56

Inashangaza saaana viongozi wa wakati huu kwa hii tabia ta kuwazungumzia marehemu walio tangulia mbele ya haki ili tuelewe kuwa huo ni ushahidi wa wanayoyasimamia? Hao marehemu tutamaliza ili tuthibitidhe ukweli wa yaliyo semwa?

Ответить
@athumaniyusufu-c9u
@athumaniyusufu-c9u - 11.02.2025 11:26

lkn protokali kwa nini zifatwe zitumwe barua kwa husika kuliko maneno maneno nawote mnajuana

Ответить
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui - 10.02.2025 23:25

Mawahabi munafujo ktk dini

Ответить
@RajabuJuma-w1b
@RajabuJuma-w1b - 10.02.2025 19:32

Kiufupi nyie ni maadui zetu kwani hamlioni hilo au mnalazimisha muwe pamoja na sisi?

Ответить
@SanuriAShefaya
@SanuriAShefaya - 10.02.2025 17:34

Msitishe watu bwana mbona hamumzungumzii alie furahia kifo cha shekh mumemuona kabeke

Ответить
@JumaAthuman-bk6hx
@JumaAthuman-bk6hx - 10.02.2025 15:31

WAHABI NDO KINA NANI?UU NI FIKRA ZA KIPUMBAVU NA KUCHANGANYA WATU WASIO NA ELIMU?

Ответить
@Jamalkishangu
@Jamalkishangu - 10.02.2025 13:41

Mungu tunakuomba kwa fadhira zako na utukifu wako, peleka amani katika eneo hilo.

Ответить
@dahirgaraar360
@dahirgaraar360 - 10.02.2025 12:00

Hilo la Shekh Issa kuipindua Bakwata si kweli bali ukweli ni kwamba waanzilishi wa bodi ya muslim trustees ndiyo walitaka kuipindua Bakwata na wakamtaka awemo kwenye bodi hiyo kama mjumbe tu asiye na cheo chochote. Shekh alikwashtukia na akagundua njama yao hiyo ya mapinduzi wakitaka siyo kuipindua bakwata tu bali kumpindua yeye.
Sahihisha hiyo taarifa yako.

Ответить
@NoelNjementi
@NoelNjementi - 10.02.2025 00:20

Shida wawashia wanataka kuitawara Saudia namiji yake mitukufu

Ответить
@NoelNjementi
@NoelNjementi - 10.02.2025 00:19

Hawa warakuwa harubati yauwongo uwongo nyinyi mashia wachonganishi mnataka kuivamia Saudia tu

Ответить
@NoelNjementi
@NoelNjementi - 10.02.2025 00:18

Hawa mashia wairani

Ответить
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed - 09.02.2025 21:50

Shirari mkorofi tu kama jina lakke

Ответить