THE PASSION OF SANGUINE - SHAUKU YA SANGWINI
1. Sangwini ni mtu mcheshi, anapenda kucheka na anapenda kuchekesha watu.
2. Sangwini akiwa na jambo, hakai nalo moyoni. Hata kama ni SIRI Hana kifua cha kutunza.
The Overview/Muhtasari Wa HAIBA
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39