MASWALI KONKI YA WAANDISHI YALIVYOTAKA KUMVURUGA WAZIRI MCHENGERWA APANGUA MOJA BAADA YA JINGINE

MASWALI KONKI YA WAANDISHI YALIVYOTAKA KUMVURUGA WAZIRI MCHENGERWA APANGUA MOJA BAADA YA JINGINE

Uhondo TV

17 часов назад

3,081 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 - 15.10.2024 22:01

Nasubiri battle ya shetani na mungu wa tz ktk uchaguzi huu

Nani ataibuka mshindi

Ответить
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf - 15.10.2024 23:26

Waziri upo vizuri sana nakukubali wewe ni mwanasheria uliebobea hongera kaka

Ответить
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf - 15.10.2024 23:28

Waziri mchengerwa unakitendea haki kiti chako hongera

Ответить
@festokemibala5832
@festokemibala5832 - 15.10.2024 23:40

Hao wanaofunga ofisi ili wahusika wasipate barua za utambulisho ktk vituo, hujawasikia nao? Na wanaowachanja wenzao kwa viwembe je? Mungu anawaona na hili liko wazi kama wale wakoma!

Ответить
@festokemibala5832
@festokemibala5832 - 15.10.2024 23:43

Monarchism😊

Ответить
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 - 16.10.2024 00:18

Hivi huyu mchengerwa ni Tanzania au mzanzibar?

Ответить
@musa-v3f
@musa-v3f - 16.10.2024 02:41

Tanzania ni nchi ya ajabu sana Mchengerwa ni mwana CCM na Mjumbe wa NEC WA CCM anakuwaje Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa chini ya mfumo wa vyama vingi?? wewe unachezea timu moja unawezaje kutoa haki kwa timu zingine wkt wewe una maslahi kwenye mchezo unaosimamia???je Simba na Yanga wakicheza Kiongozi wa Yanga awe refarii nani angekubali upuuuzi huo??

Ответить