Ni katika mwendelezo wa programu yetu ya kuitazama pea moja kila mwishoni mwa wiki, Leo tumeweza kufanya UHAKIKI na MAKADIRIO kwenye pea ya USDCAD. Katika mwonekano wa soko kwa kuanzia kipindi cha wiki za karibuni imekua ikifanya corretion iliyokua kwa mfumo wa ABC. Wiki hii inayoisha thamani ilikua ikikmilisha wimbi "B" hivyo tunatarajia kua kitakachofuata itakua nikutengeneza wimbi "C" linaloundwa na mawimbi madogo matano (1,2,3,4 na 5). Mawimbi hayo yanawezakua kwa mfumo wa IMPULSE au mfumo wa ENDING DIAGONAL.
Ili kufanya biashara ya forex kwa uhakika jiunge na Wkala/Brokers wakuaminika zaidi:-