Комментарии:
In God We Trust
ОтветитьThanks Bishop. Truth must be said as it is. Some are celebrating the evil acts today, but tomorrow the same will be done to their very loved ones and that is when they will wake up. Psalms 91 is your portion.
ОтветитьHuyu ndio msemaji wa Mungu kweli kweli
ОтветитьVery right you are only speaking facts
ОтветитьI'm proud of you dady❤ Mungu akulinde na akutunze daima you're truly
ОтветитьYou are very good and clever man of God...Your wisdom is of God.Let him fight for you
ОтветитьGod watch over you MOG,, continue championing for justice
ОтветитьWatanzania wakati ni sasa na kama sio sasa ni sai ...uyu mama ache kuwabeba ujinga fungueni macho.. uku Kenya hatupendi ujinga....Gen Z fanyeni mambo...uyu ndio mwokozi wenu sasa
ОтветитьUmesema kwely ❤
ОтветитьAskofu Gwajima Asante kwa maneno mazur nimependa Namimi pia umenifumbua Asante sana
Ответитьubarikiwe askofu.Mifano uliyotoa ni dhairi ndo yanayoendelea.Usirudi nyuma mbunge,viongozi kama ninyi ndo tunaowahitaji tena muwe wengi kwa jina la Yesu. Politicians na mbwa mwitu wengine kwa kuweka maslahi yao mbele ndo wanaibomoa nchi. Hii nchi ni yetu sote. asante Gwajima.
ОтветитьRaisi matukio mabaya yamezidi watu wamekuchoka ukweli huo
ОтветитьAm from 🇰🇪,,We love you Gwajima
ОтветитьKabisa anaongea sahihi majeshi yetu nimuhimu kwa inchi..siwadharau nawaheshimu sana niwalinzi wetu
ОтветитьJ2 nakuja kusali ubungo maji,,we unafaa sana
ОтветитьAsante sana Askofu ila mimi ningependa hata wakuu wa vyombo pamoja na kuteuliwa na rais pia wakutane na kamati ya ulinzi na usalama ili wahojiwe kama kweli wana vigezo vya kufanya hiyo kazi. Vinginevyo wengi wao ni watoto wa mama mdogo au maswahiba wa rais.
ОтветитьWhat a speech
ОтветитьMungu mlinde baba huyu watanzania isipite siku mtu hajafunga na kuomba kwaajili yake Mungu alinde uhai wake ampe afya njema
ОтветитьRAIS AJAYE RAIS AJAYE RAIS AJAYE🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
ОтветитьAiseeeé; Mambo ya chumbani kabisa haya
ОтветитьAiseeeé; Mambo ya chumbani kabisa haya
ОтветитьGombea uraisi baba tuko pamoja nawewe
ОтветитьSafi sana gwaji boy wewe ndio Tanzania yenyewe
ОтветитьImenibidi niitafute hii nisikilize vzr afu ndo niunganishe na yale maneno ya magwajimanazed
ОтветитьYes yes yes tuwe na watu 20 kama ww tunafika Nchi ya Ahadi
ОтветитьBora ukweli unaonuma kuliko uongo unaofariji umesema kweli BISHOP 🫶☎️
ОтветитьYani kwa maneno haya matam ya ukombozi wa taifa hakika mungu amutunze huyu Baba .watu kama hawa ndiyo tunu ya nchi.shikamoo gwajima
ОтветитьSpent an hour nasikiliza hii kitu…Nimevutiwa na mifano zaidi🙌
ОтветитьRais wangu ❤
ОтветитьKatiba Mpya ni sasa
ОтветитьAskofu. Tunasubiri press nyingine. Tunatamani nchi yetu ipone
ОтветитьJITU LA MBINGUNI,DAMU YA YESU IKUFUNIKE ....
ОтветитьAkili kubwa sanaa sana hii, Mungu akulinde sana Bishop.
ОтветитьMUNGU akubariki Sanaa, huu ndo UZALENDO wa kweli📌, Amani ni zao la haki... Kama kuna watu wanatekwa na serikali haiwajibiki hakuna amani hapo....
ОтветитьNo reforms no election 📌📌
ОтветитьNimepitia comments wengi mnamsfu Gwajima lakni niwaulizetuu iv kpndi cha Magufuli utekaji aukwepo simaanish tuhuendeleze utekaji lakin kwann kpind chanyuma ulikua usem kina Roma walitekwa kimya Lisu aka shambuliwa kimya Moo akapotea kwamda kimy ulikuawa wapi
ОтветитьHamia chadema sukuma gurudumu tuchukue nchi
ОтветитьMagu alikuamini mimi siwezi kukypinga
ОтветитьEmenibidi nitafute hii taarifa Kwa umakini baada ya kuona taarifa kua TCRA imeindikia barua Ayo TV kufuta taarifa za gwajima
ОтветитьKwahiyo kiongozi wa utekaji mmemjua ndugu wananchi?
Ответить😢
ОтветитьAmeeen
ОтветитьNIKO HAPA NAJIULIZA JE HUYU GWAJIMA INAMAANA HAJUI KIUWA UONGOZI NI NIDHAMU KWANZA?, NA JE NI KWELI ALIKUWA NA NIA NJEMA MAANA HUYU MTU ANAOUWEZO WA KUFIKISHA HOJA ZAKE KWA MHESHIMIWA RASI AU NI KWELI KUWA LENGOP LAKE NI KUONYESHA KUWA RAIS HAFAI NA HANA UWEZO WA KUWALINDA WANANCHI WAKE NA KUTAKA KUONDOA UHALALI NA KUKUBALIUKA KWA RAIS KWENYE JAMII? UKITAFAKARI VYEMA UTRAKUNDUA KUWA BWANA GWAJIMA NIA YAKE HAIKUWA NJEMA NA ANASTAHILI KUOMBA MSAMAHA KWA RAIS NA SIO KUJIFANYA KIBURI.
ОтветитьHuyu mjanja alijificha humo kwenye chama ili ajue siri zao kusud aje awaumbue wenzie uyu mjanja kweli😂😂😂😂😂
ОтветитьAskofu siku zote unaongea Maneno ya kunyooka.Tatizo ni je unaowaambia wanakuelewa?!
ОтветитьMungu akubariki na akulinde
ОтветитьMUNGU AKUTUNZE MNO
ОтветитьNakupenda nakupenda tena baba damu ya Yesu inene mema kwako
ОтветитьAskof oyeeeee unayoongea ni ukwel
ОтветитьMasha Allah kauli za kizalendo
Ответить