Usipoteshe Watu Usijitoe Ufahamu Unachokifanya Unakijua-Ustadh Shafii Amjibu Firdausi kwa Kupotosha

Usipoteshe Watu Usijitoe Ufahamu Unachokifanya Unakijua-Ustadh Shafii Amjibu Firdausi kwa Kupotosha

Ustadh Shafii Online Tv

4 дня назад

18,999 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@mim9607
@mim9607 - 11.11.2024 06:37

JAMENI SISI NI MADAKTARI
HUYU MTOTO NI MGOJWA
TAFUTENI PESA APIMWE AKILI

Ответить
@AllyKipende
@AllyKipende - 11.11.2024 06:42

Shekh shafi nakuombea kwa Allah uwe katika vipenzi vya Allah, maana umekuwa ukiongea haki mudawote

Ответить
@AllySully
@AllySully - 11.11.2024 07:00

Huo ndio uislam kabisa hyo myahudi anae jifanya sharif ni anatakiwa aadabishwe ana njaa huyo anaonekana anatokea kwenye familia yenye njaa sana ndio maana anafanya hyo ya kiganga .

Ответить
@MaulidFakiKhamis
@MaulidFakiKhamis - 11.11.2024 07:20

Huyu mtoto kibri kingiiii

Ответить
@Ahmadiyyāh.02
@Ahmadiyyāh.02 - 11.11.2024 07:30

Mimi ni Ahmadiyya, Alhamdulillah Rabbil-alaamini

Ответить
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 - 11.11.2024 07:33

Alisema Sheikh Suleyman kilemile (ALLAH AMRAHAMU) "Wakati Watu Wanajishughlisha na Mambo ya RADD Basi Wenye Akili Hufanya Mambo Mengi Wakati Huo (Watu Wanajishughulisha Na Radd).

Mmoja tu Akiteleza kidogo basi atajibiwa na Watu Alf moja.

Kila mmoja anataka kuonyesha elimu yake. Kila Shekh Anawafuasi wake Wakati wote ni waislamu.

JAMBO LENYE KUSIKITISHA MBELE YA WATU WENYE ELIMU NA AKILI.

Ответить
@ChudiOmi
@ChudiOmi - 11.11.2024 07:36

Unatetea wachawi

Ответить
@ChudiOmi
@ChudiOmi - 11.11.2024 07:39

Tuambie uislamu wapi umekataza... tueleze kwa ushahidi.... sio porojo

Ответить
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 - 11.11.2024 08:19

Shetani ana mbinu nyingi huenda ametumiwa na Shetani kumuonywsaha karama mbali mbali ili mradi ipatikane sababu ya kuwagombanisha viongozi wa uislam.

Ответить
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 - 11.11.2024 08:21

Hiyo ni Kamchape kwa ligha nyinhine mkonokoni.

Ответить
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 - 11.11.2024 08:34

Leo Dr.shafi,nimekiona kiwaraza chako.😂😂😂😂😂maaashallah

Ответить
@MUHSINSALUM-cc4tg
@MUHSINSALUM-cc4tg - 11.11.2024 08:36

VP KUHUSU DOCTOR SULE?

MAANA NAE AMEKOMALIA UPUUZI WAKE WA MAPETE, NAKUSEMA KUA WENGINE WASIOMUELEWA WATAENDELEA KUTEMBEA NA NDALA ZILIZOTOBOKA!!😊

Ответить
@jumakumala1337
@jumakumala1337 - 11.11.2024 09:02

Nakupenda kwa ajili ya ALLAH sheikh Shafii , wahadhiri wote ww pekee ndio uliejitokeza kukemea na kuelimisha waislam kwa yanayo fanya na sharifu wa mchongo , wahadhiri wengine , na naibu mufti wote wanaunga mkono na wanamfagilia

Ответить
@aishahazary4097
@aishahazary4097 - 11.11.2024 09:56

ALLAH akuongoze na usimame katika haki Shehe Shafii.Hakika hii dunia ni ya muda mfupi sana Amefaulu yule aliyeipa mgongo dunia

Ответить
@SalimRamadhan-v8q
@SalimRamadhan-v8q - 11.11.2024 09:57

Kwanza nilicho kigundua kwa uyu Firdausi Qur'an pia hajui huu ni mtiani mkubwa wallah subhanallah alafu anajita sharifu

Ответить
@salisali3738
@salisali3738 - 11.11.2024 10:08

أحسنت استاذ شافى يلا امام ديما

Ответить
@cassimoa9217
@cassimoa9217 - 11.11.2024 10:14

Kwa Tanzania hawa masheikh wetu na maustadh baadhi yao ni wale wale tu kama huyo Sharif, si wa kweli ktk masuala ya pesa. Wote wamekuwa Waganga, baya zaidi si wa kweli na kauli zao. Wanajali pesa tu. Wakishachukua pesa yako huwaoni tena. Utawapigia mpaka utachoka hawapokei, au atakupa kijana wake ambaye hajui chochote ktk matatizo yako uliyoongea na bosi wake.

Ответить
@AhmedAladhary
@AhmedAladhary - 11.11.2024 10:41

Mashaallah mwezi mungu akuzidishie hekma

Ответить
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v - 11.11.2024 10:46

Uislam n din ya majin huyo anatendea Hak majin yaliomp mtume muhad maono ya Giza mkakop na biblia ytu mtume kboko unataaje kuw mkristo wkt ndo uloanza zabur ytu tourat ytu nyie mpk kumjua adamu n biblia

Ответить
@YusufDaudi-v5f
@YusufDaudi-v5f - 11.11.2024 10:48

Mashallah ❤100/:

Ответить
@ArabOman-x7h
@ArabOman-x7h - 11.11.2024 10:52

Akika shehee

Ответить
@AmuriYahaya
@AmuriYahaya - 11.11.2024 10:53

shukrani sheikh allah akulipe mema tuliwaza naweye unajiunga n'a matapeli kupitia ile clip tulio iyona

Ответить
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz - 11.11.2024 11:29

kwa ufupi huyuu ni mshirikina na anauchafuwa uwislam mpumbavu sana msaka tonge eti sharif mjinga sana

Ответить
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y - 11.11.2024 11:38

Dini ni ya mtu... imani ndio kila kitu..

Ответить
@fadhiliramadhani7758
@fadhiliramadhani7758 - 11.11.2024 11:51

Huyo aliyesema yeye ni Ahmadiyyah amche Allah arudi kwenye uislaamu wa sawa Ahmadiyah sio dhehebu katika uislaamu ni dini nyingine tofauti kabisa na dini ya kiislaam kwani katika uislaam Tunaamini kuwa Mtume Muhammad swalallahuãlayhiwasalam ni mtume wa mwisho lkn wao wanaamini utume unaendelea

Ответить
@AlyMbusa-i1h
@AlyMbusa-i1h - 11.11.2024 12:17

Amani za Allah ziwe juu ya shekh

Ответить
@farinhobulangi3723
@farinhobulangi3723 - 11.11.2024 12:43

Uyu sheikh nampenda sana .wowe siyo mnafiki kama walimu wengine kama Dr Sule

Ответить
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 - 11.11.2024 12:53

Tatizo la huyu kijana ni kiburi sana na kiburi anapewa na hawa wote wanao msapoti. Allah atahukumu hapa Duniani Wallah litamfika la kumfika yeye na wote wanao msapoti In Shaa Allah.

Ответить
@saidkuwe6913
@saidkuwe6913 - 11.11.2024 13:20

Wallah sheikh shafi nakupenda kwa ajili ya Allah
Coz uko straight sana hupelekwi Wala hufaati mkombo alafu unaufaswaha sana katika kuzungumza

Ответить
@AhmedAladhary
@AhmedAladhary - 11.11.2024 13:43

Huyu anojiita sharifu haha tafauti na anaejiita mtume wa mkulanga

Ответить
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 - 11.11.2024 14:07

Siamini mashekh wa media

Ответить
@zedyabdulrwabilingo9042
@zedyabdulrwabilingo9042 - 11.11.2024 14:30

Hii tu haitoshi huyo dogo ni zaidi ya sheitwan inabidi achukuliwe hatua sasa kibaya zaidi na shekh wa mkoa et anamuunga mkono Allah akbar hii kitu mbaya sana please atuachie dini yetu asiendelee kuichafua kiasi hiko..

Ответить
@MachuBaby-ww5su
@MachuBaby-ww5su - 11.11.2024 14:49

Bado kuja kwa Nabii Issa tu na Masikh Dajjal dalili zote za kiama tayari... Shukran Ustadh Shafi ambae hataelewa ni kusudi tu Mungu awabariki Masheikh wote muliojitolea kuelewesha umma

Ответить
@ochuMay05
@ochuMay05 - 11.11.2024 15:16

Uislma unatufundisha Kusema Ukweli japo kuwa Unaumiza.. Huyo Firdaus aambiwe ukweli bila hata ya kupepesa macho na hao wanaotetea kwa sababu ya tamaa ya Pesa wanazowadhulum wanyonge. Maana amevuka mipaka na amechagua kujibizana na wanaomwambia ukweli na anatengeneza magenge ya watu wachache na wanajitokeza kwenye Media na kumtetea Wake kwa Waume hivi sivyo tunavyofundishwa katika Dini yetu Tukufu..

Ответить
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 - 11.11.2024 15:28

Sharifu feki

Ответить
@DjumaAsha
@DjumaAsha - 11.11.2024 17:26

Tunasubiri muendelezo in sha Allah

Ответить
@saiddgsmg
@saiddgsmg - 11.11.2024 17:40

HUO WOTE NI UNAFIKI MKUBWA,KEAHIYO WEWE SHAFII NI SHEH MKUBWA TANZANIA KULIKO WOTE TZ,WEWE NI MTU WA HUSDA PAMOJA NA WENZAKO KINA KISHIK,NINACHOKUOMBA UACHE HUSDA.

Ответить
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 - 11.11.2024 18:25

Sheikh shafii hapo umesema kweli kabisaa yeye aseme tuu mimi ni babu loliondoo tuu basi.....watu wataachana naee,aseme mimi nimgangaa tunguliiii

Ответить
@kadijaa7771
@kadijaa7771 - 11.11.2024 23:46

Allahumah bariki fii

Ответить
@mahdisaid9764
@mahdisaid9764 - 11.11.2024 23:57

Mashaallah shikh upo sahihi huyo bwan mdogo anazingua sana

Ответить
@MacandeTv
@MacandeTv - 12.11.2024 07:26

Amin

Ответить
@KingMido-v4u
@KingMido-v4u - 12.11.2024 07:29

Watanzania kwani hakuna mabaro baro wanaoweza kumfat huyo kijana na apate bakora za kisawa sawa awache ujinga....ametumwa kupoteza watu ..mjukuu wa ibilisi huyo..wallah angekuwa mombasa huyo mungeliskia ametembelewa na wana ...

Ответить
@HadinanKimimbi
@HadinanKimimbi - 12.11.2024 09:36

Nilichogundua munamjua vizuri

Ответить
@msusamaunde-k4d
@msusamaunde-k4d - 12.11.2024 17:40

Kwann lakini anajisahauu huyu sharifu??

Ответить
@hafidhsalim9237
@hafidhsalim9237 - 12.11.2024 22:31

Hii vita itaisha lini??? Kama kijana anauchafua uislam na nyie mashekhe mushaliona hilo, basi lifikisheni mahala husika , ataitwa huyo kijana na atapatiwa dawa stahiki. Atatulia tu.
Lakini kwa namna hii ya mitandao sidhani kama ni njia sahihi. Lakini mashekhe mnajua zaidi.

Ответить
@mohamedsaidalhabsi7862
@mohamedsaidalhabsi7862 - 13.11.2024 08:02

Free free free Palestine 🇵🇸 hivi kumbe hamashekhe wanapitiwa na ibilisi yani nilijua masheikh watagombania masjid alaqsa wanagombania maji

Ответить
@alexkatana5037
@alexkatana5037 - 13.11.2024 08:47

Uisilamu Haurusu Ushirikina Kabisa.

Ответить
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk - 13.11.2024 11:57

Wallah shekhe wangu Allaah akulipe

Ответить
@RahmaMussa-k7w
@RahmaMussa-k7w - 13.11.2024 19:08

Sheikh Shafii, Mndengestan (mndengereko) umenyooka upo vzr mno wewe ni Azina, Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza na akukinge na mabaya

Ответить
@abuumkota5505
@abuumkota5505 - 14.11.2024 17:58

Sasa kusomewa tu dua unaambiwa utoe hela nyingi sana, nina mtoto wangu nlimpeleka nikatoa elf 40k nikaambiwa bado 170k mtoto kazidiwa nikampeleka hospital mwisho akafariki sasa kwann dua mtu alipe hela nyingi hivi

Ответить