Ugeni Mzito Kwa Ustadh Shafii,Dr Shabani  Muhoro-Mwanadada wa Kikiristo Awashangaa Wakiristo Wenzake

Ugeni Mzito Kwa Ustadh Shafii,Dr Shabani Muhoro-Mwanadada wa Kikiristo Awashangaa Wakiristo Wenzake

Ustadh Shafii Online Tv

6 месяцев назад

18,804 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@hamishassan6784
@hamishassan6784 - 30.04.2024 13:39

wanasema kuna watu waliamua kutumia uongo kama silaha muhimu wa kuweka mambo yao sawa na ni miaka mingi wamewadanganya watu mfano. Watu tumetokana na manyani, Shetani ni mweusi, mengine ndio hayo Mungu amejiua mwenyewe kutukomboa wanadamu kashindwa kumuua Shetani anayetupotosha sisi tule raha. Yaani nazani wakati umefika wa kuanza kujitambua sasa

Ответить
@ZuberiHaji
@ZuberiHaji - 30.04.2024 14:38

MATAYO 4
Kisha mungu yesu kapewa lifti na shetani mkapa juu ya mnara wa hekalu akaambiwa ajirushe 😅😅😅😅 Akakimbia kifooo kwa kujitetea

Ответить
@babazungu3180
@babazungu3180 - 01.05.2024 07:44

Kuna watu wa moton na watu wapepon sasa hapo dada yangu allah akuongoze kuislimu tu .

Ответить
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 - 01.05.2024 14:26

MashaAllah

Ответить
@LaminRiziki
@LaminRiziki - 01.05.2024 21:11

Wakristo tafakarini bana yani Mungu mwenye uwezo wa kila kitu ashindwe kumuua mwenye makosa shetwan amuue mwanawe ampendae kwa imani yenu au mungu mwenyewe auwawe

Ответить
@SwayibuBitega
@SwayibuBitega - 02.05.2024 09:11

Swdakta ya shekh

Ответить
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube - 02.05.2024 16:49

Jamani mungu katahiriwa dah

Ответить
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 - 02.05.2024 16:57

We ndio ume sema nini hapa , sasa mbona wamfananisha Mungu na wanadamu , Mungu ana takiwa kuitwa peke yake na hakuna ruksa ya kutumia jina lake kwa asie kua yeye , na niandiko lipi lasema kua yesu ana ruksa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kulitumia jina lake ?! Hivi ndivyo mlivyo wakiristo mkibanwa kwenye hoja mwakimbilia maneno ya vichwani mwenu yasio na mashiko yoyote ya kimaandiko , na maneno yako haya japo ni uongo yapo dhidi yako ya kwamba , kama unasema yesu alikua tu akilitumia jina la Mungu kama utumiavyo wewe mkiristo jina la baba yako mara nyingine na ikitoa umeitwa kwalo unaitika , lakini ukweli utabaki kua wewe ni wewe na baba yako ni baba yako wala haitoka kinyume kamwe aban aslan , kadhali Mwenyezi Mungu nae ikiwa tutakukubalia maneno yako hayo basi Mungu ni Mungu na yesu ni yesu na si kinyume hawa si mmoja kama mnavyo dai kua ni kama yai la kuku , bali nyie ndio mayai tena gredi wakiristo wakubwa nyie , hata hebu zitumie akili zenu , kwa hiyo kwa maneno yako haya Yesu kakodisha jina la Mwenyezi Mungu sio 😂😂😂😂😂

Ответить
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 - 04.05.2024 07:55

Asalam alaykum warrahmatullah wabarakatuh masheikh wetu kweli mnafanya vizuri Sana kutusomea maneno ya ALLAH yaani MUNGU.

Ответить
@habibasalim3092
@habibasalim3092 - 05.05.2024 11:00

Yesu akaburuzwa kwenye streets ya Jerusalem helplessness bila ya kuweza hatta kujinusuru, na mwisho ilibidi tena Aombe na akasema Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha

Ответить
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 - 05.05.2024 16:32

Kama wewe kweli ni mkristo, ninamaswali mengi sana ya kujiuliz.

Ответить
@isayaogola8733
@isayaogola8733 - 05.05.2024 22:45

uelewa wa maandiko nikidogo

Ответить
@masoudnzowa4608
@masoudnzowa4608 - 06.05.2024 09:23

dada 🎉 ❤❤ 100%

Ответить
@Kanyawela
@Kanyawela - 06.05.2024 23:05

Kama hujui sema sijui kushangaa kwako hakutambadilisha kuwa Mungu uyo YESU YESU ni Mungu tena Mungu tena Mungu ongea kiharabu ongea kingeleza ongea rugha zote YESU ni Mungu tena MUNGU

Ответить
@abdulrahmansangey1626
@abdulrahmansangey1626 - 07.05.2024 07:10

Mie cha ajabu walio msulubu yesu ni wanaadamu. Ambao kajitoleo kwa ajili yao awasamehee

Ответить
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue - 07.05.2024 14:00

Nikweli dada sasa kama mlisha kombolewa kwanini mnasali na kuombewa sasa

Ответить
@alexalute6712
@alexalute6712 - 07.05.2024 15:00

Wewe dada umefeli saaaaana mdogo angu nakuhurumia sana, ulikofikasijui kama yupo wa kukusaidia ibaki neema ya MUNGU tu. Pili ninyi mashehe mambo ya rohoni kwenu ninyi ndg zangu ni shida kuyaelwa.

Ответить
@ramadhankilango9088
@ramadhankilango9088 - 07.05.2024 18:39

Wanadai 100% mungu na 100% binadamu japo bila andiko

Ответить
@AllySully
@AllySully - 07.05.2024 22:56

Makafiri hata uwambie vip hawawez kukubali.

Ответить
@raheemmagambo2882
@raheemmagambo2882 - 08.05.2024 06:14

Uislamu n din ya haki,Allah akuongoze dada angu umaut ukukute hali ya kuwa n muislam,TÀQBIIIIIIIR

Ответить
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 - 09.05.2024 10:53

💖

Ответить
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 - 09.05.2024 20:00

Huyu dada naomba nitafutiwe namba yake nimuoe kabsa! Aje kwenye dini ya Haki ya Kiislam! Nimempenda mno.❤️

Ответить
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 - 09.05.2024 20:17

Mdada maashaallah natamani kumuoa awe mke wangu,❤❤❤❤❤

Ответить
@AbdallahDele-e8c
@AbdallahDele-e8c - 12.05.2024 08:39

😂😂😂😂😂Mbwna weeee

Ответить
@WAHUJILLCOMAT
@WAHUJILLCOMAT - 13.05.2024 14:01

Allah akuongoze ktk haki....na inshaallah nakuombea dua ukisilimu allah ajalie nikuoe mimi......❤❤❤❤

Ответить
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 - 17.05.2024 23:48

Wakristo sijui akilizao ziko matakroni....yani siwaelewagi hatakidogo wanaamini vitu ambavyo hata mtoto mchanga hakubari

Ответить
@ayoubbilatuka7012
@ayoubbilatuka7012 - 19.05.2024 07:09

Naomba huyo mdada anichek inbox km hajaolewa mie nipo tayari kwa chochote...

Ответить
@muftiamanzi-ri5yv
@muftiamanzi-ri5yv - 21.05.2024 22:16

Atariiii

Ответить
@muftiamanzi-ri5yv
@muftiamanzi-ri5yv - 21.05.2024 22:16

Atariiii

Ответить
@muftiamanzi-ri5yv
@muftiamanzi-ri5yv - 21.05.2024 22:17

Atariiii

Ответить
@JumaNurudini
@JumaNurudini - 31.05.2024 12:44

❤❤❤❤

Ответить
@MussaHamadi-s5c
@MussaHamadi-s5c - 16.08.2024 18:29

Ah wakristo nyinyi mnakera upuuzi mtupu asa aje asamehewe madhambi kwa kipi kikubwa mulicho nacho wakristo mbona mnachukulia kupata pepo ni rahisi sana nyiy

Ответить
@jumahenriquesgeraldo9837
@jumahenriquesgeraldo9837 - 03.09.2024 09:40

Ata Mariamu mwenyewe baada ya ujauzito alimuomba Mungu wake so kwa yule alie tumboni mwake. Yohana, Zacaria hawakumuabudu Yesu.

Ответить
@AbubakarMwikalo
@AbubakarMwikalo - 05.09.2024 11:13

HUYU MWANAMKE NI WA KUMUOA KAMA HAJA OLEWA NAHITAJI KUMUOA JAMANI ELIMU YAKE NI NZURI SANA NA NIMEIPENDA SANA NA HAPASWI KUENDELEA KUKAA KWENYE DINI AMBAYO INA MKUFURU MUNGU , ANATAKIWA AWE KWENYE DINI YA HAKI NA YENYE KUMTAMBUA MUNGU WETU MMOJA

Ответить
@kizitototo8923
@kizitototo8923 - 22.09.2024 12:06

Huyo dada SI MKRITO . HAJUI MAADIKO YUKO KWENYE KUTUMIA AKILI ZA KIBINAFAM KUMFIKIRIA MUNGU. HAJUI DINI ZOTE MBILI UKRISTU NA UISLAM ZOTE ZINAELEWA UMUHIMU WA damu. Na ndio maana waislamu wanasiku za kuchinja wakimkumbuka IBRAHIMU ALIPO FANYA IBADA YA KUCHIJA. HUYU DADA HAYUPO KABISA KATIKA ULEWA WA DINI KUTOKEA KWA IBRAHIMU MPAKA KUTOKEA KWA DINI HIZI MBILI. HAJUI UMUHIMU WA DAMU na hajui ni kwanini MUNGU ALIMWAMBIA IBRAHIM AMCHINJE MWANAE KUMTOA SADAKA KWAKE. HAJUI NDIO MAANA ANAONGEA KIDHAIFU akitumia akili zake kufikiri mambio ya MUNGU. SASA WEWE DADA ELEWA WASOMAJI WAZURI W biblia wanajua kuwa aliyesulubishwa msalabani alikuwa MWANADAMU na biblia inakufuza kuwa MUNGU NI ROHO. SASA UNAWEZA KUSURUBISHA ROHO? TULIZA AKILI UTAFUTE MTU AKUFUNDISHE.

Ответить
@kizitototo8923
@kizitototo8923 - 22.09.2024 12:19

Sasa KWA KUWA WEWE UNAWAZA MUNGU KWA KUITUMIA AKILI YAKO SASA NIKUSAIDIE KWA AKILI TU. soma maandiko KWA UTULIVU. WEWE DADA waislam wanajua kuwa majini yanaweza kkumuingia mtu na yakazungumza kutokea ndani yAKE BASI NA MUNGU ANAUWEZO HUO, TENA ZAIDI NA ZAIDI. YESU ANAUTOFAUTI NA WEWE KATIKA KUUMBWA KWAKE. HAKUTOKANA NA. MBEGU YA MWANAUME KUINGIA KWA MWANAMKE. YEYE NI TOFAUTI NA WEWE NA MUHAMAD KATIKA KUWEPO KWAKWE DUNIANI. MUHAMADI ANAMWITA KUWA YESU NI NENO LA MUNGU NA NI ROHO YA MUNGU huyo ni Muhamad. Sasa ukitusikia sisi tunaoitwa chawa wa manabii huwa tunang'ang'a kumlinganisha na MUHAMAD NA KUKUFURU KUWA MTUME MKUU KABISA NI MUHAMAD. NA MUHAMAD ANAWAAMBIA WAISLAM hata kuja kuhuku atakuja YESU KUJA KUHUKUMU. BADO MUHAMAD ANAKWAMBIA HATA MAMA ALIYEMZAA HUYO YESU KWA TUKIO HILO TU LIMEMFANYA KUWA BORA KABISA KULIKO WAKINA MAMA WOYE DUNIANI anamzidi hata mama yake Muhamad

Ответить
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman - 03.10.2024 21:15

Bora utusaidie kuelimisha ndugu zako wakristo kama hamtaki kutumia vitabu vya dini hata akili pia mmepewa na mungu hivi inaingiaje akilini mungu azaliwe,alelewe mpaka akue,atahiriwe, aende chooni Wallah HAINA SHAKA HUO NI UKAFIRI MKUBWA MNO

Ответить
@AndrewOchola-v4j
@AndrewOchola-v4j - 09.10.2024 11:02

Shaban muhoro umekula sana ochola Mohamed

Ответить
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 - 17.10.2024 23:29

Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe

Ответить
@NEEMASWEDI
@NEEMASWEDI - 23.10.2024 10:51

Wewe si uende uko kwenye uisilamu ukaolewe na majini uko, twache sisi na YESU wetu.

Ответить
@NEEMASWEDI
@NEEMASWEDI - 23.10.2024 11:16

Nyie wafuga majini bado hamjanishawishi kuwa muislamu maana hata shetani anajiita MUNGU, Kama mmemkataa YESU kiristo waislamu wote ni wafu mnatembea tu na huo mwili lakini kiroho nyie ni wafu.

Ответить
@NEEMASWEDI
@NEEMASWEDI - 23.10.2024 11:28

Huyu mdada hana ata roho mtakatifu kakurupuka tu ona sasa kaishatupiwa jini chezea shehe wewe, mimi siwatakagi ata nigusane nao hao. maana wanatembea na majini mkononi hao, popote alipo mwisilamu na majini hayakosekani na wao wenyewe wanasema, waisilamu na majini ni ndugu, sasa atakosaje kuwa na majini kama una bisha waulize hao mashehe si hao unawasikia

Ответить
@ZubidaAlmasoudi
@ZubidaAlmasoudi - 23.10.2024 19:29

Wakristo hawana akili kbsaaaaaa😅

Ответить
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 - 25.10.2024 08:16

Walikusalam warahmatuh wabarakatuh
Alhamdulilah kwakuwa mimi nimuislam
Shukran ALLAH ❤

Ответить
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 - 01.11.2024 03:44

Inachekesha yani Mungu amuumbe mwanadam kisha ajeatiwe mijeledi na mwanadamu aliemuumba.

Ответить
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 - 12.11.2024 15:36

Yani wakristo vichwa ngumu kweli hata uwaambie nini yani akili zao kushindana kumbe wanapewa nusura kufahamishwa maandiko

Ответить
@KalamboRashidi
@KalamboRashidi - 14.11.2024 16:53

Wakristo hamfati mafundisho yayesu

Ответить
@KalamboRashidi
@KalamboRashidi - 14.11.2024 17:00

Baada yakuondoka yesu way audi wamewaua wanafunzi wayesu wakampa utume Paulo afundishe kinyume namafundisho yayesu msiba mkubwa

Ответить
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 - 15.11.2024 02:58

Huyu dada anaakili za kufikia Allah ambarik

Ответить

Старый клён -караоке(ремикс) sovanik959-караоке( russiаn karaoke)кому за 40
نشرة السادسة صباحاً | 2024-11-15 Al Mayadeen News - أخبار الميادين