Jumapili Oktoba 15, bendi ya Twanga Pepeta imefanya onyesho maalum ndani ya ukumbi wa kisasa wa Warehouse, Masaki jijini Dar es Salaam.
Onyesho lilikuwa la kusikilizisha (Listening Party) mashabiki nyimbo mpya zitakazounda albam ijayo ya Twanga Pepeta.
Moja ya silaha zao mpya zilizopigwa kwenye onyesho hilo ni "Pisi Yangu" utunzi wake Chaz Baba na hapa tunakuwekea sebene ya wimbo huo kutoka kwenye jukwaa la Warehouse..