UST SHAFII-TUMECHOKA MATUSI YENU KUMBE HATA BIBILIA INAJUA HILI KUOITIA MANABII WALIOPITA

UST SHAFII-TUMECHOKA MATUSI YENU KUMBE HATA BIBILIA INAJUA HILI KUOITIA MANABII WALIOPITA

Ustadh Shafii Online Tv

1 месяц назад

6,525 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@sadikilugomba9470
@sadikilugomba9470 - 02.10.2024 21:46

no. 1

Ответить
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 - 02.10.2024 21:59

Kadri makafiri wanavyoongeza juhudi ktk kuupaka uislam matope ndivyo uislam unazidi kuenea mara dufu Duniani

Ответить
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ - 02.10.2024 22:41

Swadakta sheikh Shafii.....Wambie wambie hao

Ответить
@adinanimzimbiri
@adinanimzimbiri - 02.10.2024 22:41

Allah atuzdshie kheri waislamu kwa ujumla

Ответить
@khalidalmosty8087
@khalidalmosty8087 - 02.10.2024 23:38

ALLAH Akupe umri mrefu sheikh Shafii uendelee kuelimisha wabishi wasiotaka kuelewa. Ukweli utabaki ukweli. Muhimu kurithisha vijana kazi hii muhimu ya Da'wa.

Ответить
@FrankAloyce-ic6rq
@FrankAloyce-ic6rq - 03.10.2024 00:27

Et daudi baba wa yesu umefel mtihaniii

Ответить
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 - 03.10.2024 01:39

Shafii umeisha kabisaa,nadhan ungeenda Agano jipya Injili YESU alikataza wake zaidi ya mmoja ,Na YESU ndio Ukristo Soma Marko 10:2_12 utaona, sisi hatuoni kua ni kashfa Bali ni ujinga kwani mohamad alishawaambia muulize kwa Wakristo mambo ya dini kwa kua wakristo wanajua mengi kuliko ninyi / kwa hiyo hatukushangai tunajua ni kutokufahamu na huulizi .

Ответить
@babazungu3180
@babazungu3180 - 03.10.2024 05:27

Hawa watu wa roho mtakatifu wako tayar waowane vidume kwa vidume kuliko mke wa 2.

Ответить
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 - 03.10.2024 06:40

Na ishaalah kwa nia zenu safi kwenye hii dini ya kiislam .shekh shafi itaendelea kwa uwezo wa molah.ishaalah amin

Ответить
@AlyAly-dp7iv
@AlyAly-dp7iv - 03.10.2024 15:04

Wewe ndugu yangu nice mchache sana wa maandiko ebu soma mathayo 1.1kama unapinga kuwa yesu si mtoto wa daudi ivi nyinyi wakristo ni wagumu sana

Ответить
@ABUUHASSAN-wx5rb
@ABUUHASSAN-wx5rb - 04.10.2024 19:52

Alhamndulillah for your existence in this world my sheikhs.........
Natoka kenya na nafuatilia sana daàwah.
Na ningependa nijifunze nami niwe mhadhiri kama nyie masheikhe zangu
Lakini sijui nitasaidikaje?

Ответить
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR - 05.10.2024 00:12

MaashaAllah sheikh kwa kuelimisha jamii

Ответить
@christopherjefa1689
@christopherjefa1689 - 06.10.2024 03:00

My response to Muhammad didn't have witnesses, so how do you believe in him?"

Muslims: There's no corroborating evidence of Muhammad's interaction with god

So why should he be considered anything more than a great leader that used spirituality to unite and motivate his people?

Ответить
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 - 06.10.2024 08:45

Na hii yte imetoka kwa Wazungu tu wakaisambaza chuki mpaka kwa ndugu zetu Africa..yani mambo machafu yoote wanayoyapenda kufanya Quran imeshakataza yote sasa wao wanataka kufanya ila Quran imekataza...kutembea uchi,wanawake kuongeza nyele,Mara Mungu haangalii mavazi ila roho ndo ili watu wakae uchi

Ответить
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 - 06.10.2024 08:51

Kwa maneno yako Shafii una maanisha Bi: Mariamu mamaye Yesu alikuwa mkewe Mfalme Daud? Si,mke wa Yusufu?

Ответить
@MwanaidyMwambez
@MwanaidyMwambez - 06.10.2024 12:42

Mashallah

Ответить
@frankathanas
@frankathanas - 06.10.2024 22:13

Uislamu una maneno mazuri lakini uhalisia wake una mashaka ndani yake na pia kama uislamu ungelitangaza uzima baada ya kifo ningeliluwa wa kwanza kuukubali

Ответить
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 - 07.10.2024 05:44

Kama koruani inahimiza watu kutendeana mema vipi waarabu walikuja afrika kuteka watu na kuwauza utumwani? Waarabu hao hao wanawatendea unyama mabint wa kiafrika wanaokwenda kufanya kazi uarabuni wanawanyima mishahara yao,wananyanyasika kunyimwa hadi chakula nk je hao uislamu wao ni feki au kofuani yao feki? Tumeshubudia waarabu wanateka ndege wanairipua na kuua abriia wote hata wasio na hatia vipi uislsmu uwe dini ya haki wakati waislamu wenyewe ni katili na wauaji wakubwa? Je kinachoendelea somalia na baadhi nchi za kiislamu vita usiyokoma?

Ответить
@Num3er22
@Num3er22 - 07.10.2024 07:57

Kuamini uislamu ni sawa na kuongozwa na mdogo wako aliezaliwa akakukuta. Ukamchambisha na kumfuta mikojo. Alafu ndo akuongoze njia. 😂😂😂😂

Ответить
@Num3er22
@Num3er22 - 07.10.2024 07:58

Muislam akiswali kwa lugha ya kiarabu tayari anajiona malaika. Yani iyo lugha tu ya kiarabu tayari peponi. Utachoka ukija kujua maana. 😂😂😂😂

Ответить
@Num3er22
@Num3er22 - 07.10.2024 08:00

Biblia haikuandikwa kuja kushindana, na haiwezi kuandika kila kitu. Kitabu kisingetosha. Shafii sijui unaelewa. Quran iandikwe kwa kutumia biblia alafu tena Quran ijue zaidi ya Quran 😂😂😂

Ответить
@AliAyoub-qh3lm
@AliAyoub-qh3lm - 07.10.2024 18:42

Mashallah

Ответить
@hafidhungando
@hafidhungando - 09.10.2024 23:35

Ustaadh shaf umefundisha kuhusu kuoa wake zaidi ya mmoja nilitegemea labda watatoa hoja kupinga hizo Aya kwamba labda sio bibie wao wanaleta chuki

Ответить
@kondomiraji2834
@kondomiraji2834 - 19.10.2024 19:44

No

Ответить
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule - 26.10.2024 23:02

Sheikh wangu Acha kutudanganya. Toka waislamu walipoanza kuoa wake wengi je mmewamaliza wote? Eti uislamu haumchukii mtu, kasome al maidah 82-86 utawaona walio na uadui na wayahudi ni waislamu na washirikina. Sheikh shafi kwa habari ya biblia feki, zipo pia korani feki kama hukujua waulize mashehe wenzako tena kusema eti Koran haikutiwa mikono sio kweli. Mimi namshukuru pastor Ndacha kwa kutufungua macho juu ya uongo mwingi ulipo kwenye quran tukufu ya watoto wa mama mdogo.

Ответить