Комментарии:
Mtangazaji nikimsikiliza namuelewa anaeleza vizuri sana ❤❤
ОтветитьKazi nzuri kwa mahakama ongereni sana kutenda haki.
ОтветитьDah ndio dawa hiyo maana kuuawa kumezidi
ОтветитьHauwezi mwaga damu ya mtu asie na hatia na ukaishi kwa amani malipo n hapa hapa duniani...always be humble
ОтветитьPesa pesa.
ОтветитьMahakama hii ndo nzuri sio kubembeleza watuhumiwa
ОтветитьHata kama mtu anahatia kias gani kuumua sio suluhisho
ОтветитьBongo hatunyongaki wee umewai kusikia lini bongo mtu kanyongwa labda uniambie kifungo cha maisha
ОтветитьMmh!
ОтветитьSante Kwa info
ОтветитьTanzania,Tanzania,hao wameongea tu,hata hawanyongwi mbona atujawahi ona wakinyongwa,
ОтветитьKazi nzuri sanaaaaa
ОтветитьSaafi sana ukiuwa kwa upanga na wewe adhabu yako ni kifo
Ответитьjino kwa jino ukimwaga unga mi namwaga mboga na sufuria naituboa.....
ОтветитьWatu kutoa roho za wenzao sio kitu kikubwa siku hizi wah😢😢😢
ОтветитьJamani wangekuwa wanafanya hivo hata uaji ungepungua unaua mtu hujui ni wangapi wanamtegemea
ОтветитьIs mirembe a woman or a man pls
ОтветитьAfadhali uku tz kuliko Kenya serikali kiazi kabisa mtu ameuwa watoto takriba 1000 kisha ana achiliwa uru nabado anauza watoto hadharani serikali iko kimyaaaaa 😭😭
ОтветитьKikubwa msagaji kasepa😎😎
ОтветитьMwanamke ameshiriki kuua uuuwiii😢dunia hii inakimbia sana hii
ОтветитьMbna sijawasikia kua watu wamenyongwa lkn hukumu unatolewa,ebu naombeni mwenye aliwahi kusikia tarehe ya kunyonga
ОтветитьHuyu alikuwa msagaji maarufu Kanda ya ziwa
ОтветитьHawa nyongi ukweli bhana sheria kali ipo china na usa huku bongo longolongo mingi
Ответить