Dada wa Kikiristo Awavaa Wakiristo na Wachungaji Wao Asisitiza Mafundisho Sahihi ya Uisilam na Subra

Dada wa Kikiristo Awavaa Wakiristo na Wachungaji Wao Asisitiza Mafundisho Sahihi ya Uisilam na Subra

Ustadh Shafii Online Tv

5 месяцев назад

11,171 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th - 07.06.2024 13:32

Subra Imani ya moyo

Ответить
@anwarabdallah7095
@anwarabdallah7095 - 07.06.2024 13:49

Shukran dada kakuwapatia jamaa zako reallity dats true

Ответить
@paulmushi2428
@paulmushi2428 - 07.06.2024 14:03

Pole dada yawezekana hujapata waalimu sahihi wa kikristo wa kukufundisha hilo eneo!

Ответить
@TheAlman
@TheAlman - 07.06.2024 14:08

Asante kama kuna wanawake wenye akili ww namba moja

Ответить
@samxx411
@samxx411 - 07.06.2024 14:10

Mie nilijuwa tu maadam amesema ukweli atajuta kusema...ila utabaki kuwa ukweli tu hata ikikuuma...maana ukweli unauma.

Ответить
@samxx411
@samxx411 - 07.06.2024 14:22

Sheikh umeeleza kweli tupu, tumuombe Allah atupe mwisho mwema...sheikh tupe vitu kama hivi tusafishe moyo yetu tukumbuke mauti na siku ya mwisho.

Ответить
@prochesernest5439
@prochesernest5439 - 07.06.2024 14:51

Wew dada usidanganywe biblia imesema atakayevumilia mpaka mwisho ataikoka hayo maneno kayasema Bwana Yesu na kinginea usiwafananish wakristo na waislamu Imani zetu azifanani kamwe ni njia mbili tofauti wawo wanafanya ibada na majini wanamfanyia allah sis Kwa wakristo ibada zetu atuna majini tunaofanyanao ibada

Ответить
@OmmyKenny-wt9zy
@OmmyKenny-wt9zy - 07.06.2024 15:14

Mashallah

Ответить
@saidabdus9014
@saidabdus9014 - 07.06.2024 17:06

Jamani naomba mnisaidie namba ya ustadh shafii ninashida nayo

Ответить
@hamzangunga1578
@hamzangunga1578 - 07.06.2024 19:21

Dada Ameongea maneno mazito kweli mpaka moyo wangu ameugusa

Ответить
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op - 07.06.2024 19:58

Tatizo la wakristo ni chuki imewajaa dhidi ya uislamu Na waislamu

Ответить
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op - 07.06.2024 19:59

Ila wakristo wachache sana sana ndio hawana chuki

Ответить
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 - 07.06.2024 21:27

Dada upo karibu na wokovu, ninamuomba Allah akuongoze kwenye nuru ya uislamu aamin ❤❤❤ 🎉🎉

Ответить
@salimobeid1470
@salimobeid1470 - 07.06.2024 21:45

Wallah ninatokwa na chozi dada we mungu wa mbingu na nchi ameshakupenda fanya maamuzi uokoke ingia kwenye dini yakweli ya Allah

Ответить
@MwasabuniSuleiman
@MwasabuniSuleiman - 07.06.2024 21:45

Anae sema ni Mwalimu wa kikristo anadanganya, bwana yesu alituma wanafunzi wake wakafanye watu kua wanafunzi duniani

Ответить
@salimobeid1470
@salimobeid1470 - 07.06.2024 21:47

Dada umeongea maneno ya dhahabu sana wakiristo mpandikizwa chuki dhidi ya uislam lakin fungua moyo mungu akuongoze kwa haki

Ответить
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 - 08.06.2024 03:28

Huwa najiuliza namna wakristo wanavyokuwaga wanaomba najiuliza hivi kwa maombi hayo ndio mfano uko mbele ya rais umeambiwa muombe kitu unachokitaka halafu unaanza sasa kuomba kama wakristo eeeh raisi nakuamulu sasa kwa jina la waziri mkuu nipe nipe nyumba nakuamulu sasa unipe nyumba nakuamulu sasa unipe kazi hivi ungepewa kweli??

Ответить
@CharoHarrison-lf3jc
@CharoHarrison-lf3jc - 08.06.2024 05:45

Achana na chuki,,, swali ni je mnamuadudu nani?... ala ni shetani

Ответить
@paulmushi2428
@paulmushi2428 - 08.06.2024 08:40

Hizo kope umeumbwa nazo au ndiyo kumkosoa Mwenyezi Mungu?

Ответить
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 - 08.06.2024 19:14

inadina inna allah ali islam dini yahaki mbere yamungu ni wislam naukitafuta ingine dini siyo wislam ayitakubariwa kwako nawutakuwa mwenyehasara kubwa sana siku yakiyama

Ответить
@hajikomora703
@hajikomora703 - 09.06.2024 13:18

Dada ; Mungu akubariki kwa kusema kweli. Mitume ulil-azmi hawakufikia hadhwi hiyo illa kwa sababu y subra.

Ответить
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu - 09.06.2024 23:03

Huyu dada hajui anacho kiongea. Hivi uvumilivu na subira zinatofauti gani.? Ayubu alivumilia au alisubilia.? MWENYEZI MUNGU awasamehe wewe pamoja na huyo dada.

Ответить
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu - 09.06.2024 23:06

Waislamu wangekuwa wanafundishwa Subira wasingekuwa wanatukana matusi mpaka yanguoni kuwatukana wakrito kisatu wamewakosoa.

Ответить
@HemedRamadhanJuma
@HemedRamadhanJuma - 10.06.2024 06:10

Dah! Huyu dada anatisha hayo makope yake mh,¡¡

Ответить
@saidinyomela8387
@saidinyomela8387 - 10.06.2024 08:25

Sheikh nakupenda kwaajili ya Allah.

Ответить
@عبدالصمدعبدالله-ف8س
@عبدالصمدعبدالله-ف8س - 10.06.2024 12:19

Allah akuongoze katika uislam

Ответить
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 - 01.08.2024 20:04

We binti hujui maandiko acha kulinganisha giza na nuru uislam ni giza shetani in disguise

Ответить
@SarhaSaid
@SarhaSaid - 03.08.2024 15:06

Alhamdulillah Allah atupe mwisho mwema inshaallah

Ответить
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 - 04.08.2024 18:14

Nimependa aliposema" kama kuna watu wana chuki na dini haikusaidii chochote" amazing 👏 she's open minded person

Ответить
@bugybuster5788
@bugybuster5788 - 10.08.2024 19:01

Mashaallah dada ALLAH akubarik

Ответить
@MakameUssi-k8t
@MakameUssi-k8t - 22.08.2024 02:18

Karibu kwenye uislam dada

Ответить
@jorgitolucasbaluth8903
@jorgitolucasbaluth8903 - 25.08.2024 22:53

Dada wa kuzimu umelaaniwa

Ответить
@jorgitolucasbaluth8903
@jorgitolucasbaluth8903 - 25.08.2024 22:54

Agente wa kuzimu
Usilamu no kupoteia

Ответить
@jorgitolucasbaluth8903
@jorgitolucasbaluth8903 - 25.08.2024 22:54

Wamekutumiya majini
Venda kuzimu

Ответить
@leomika8473
@leomika8473 - 28.08.2024 18:34

Unadhani utakuwa na subila bila kutubu dhambi utegemehe kwenda mbinguni

Ответить
@Kusag-i9z
@Kusag-i9z - 28.09.2024 07:28

We katika wakiristo elfu moja we peke unajitambua wambie na swala la kupigia magoti vinyago ile ni miti

Ответить
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 - 02.10.2024 08:21

Mungu akitaka kuweka jambo lake la ukubwa wake hutarajii. Allah akbar. Ukimuona utamchukulia poa kumbe akili yake ni zaidi ya mgodi wa almas

Ответить
@JohnReonald-up8zr
@JohnReonald-up8zr - 09.10.2024 21:59

Ww mungu huwa halet shida ww,, shida zote huletwa na shetani

Ответить
@JuniorTz-s7x
@JuniorTz-s7x - 16.10.2024 19:54

Hahaha dada uko vzr nimekupenda bureee mungu akulunde

Ответить
@AbdulKitalula
@AbdulKitalula - 08.11.2024 01:43

Aliekuumba akuongoze njia ilio nyooka

Ответить
@KalamboRashidi
@KalamboRashidi - 14.11.2024 20:24

Wakristo wanafata mafundisho yapaulo siyo yayesu katumwa nawarumi kualibu dini

Ответить